Aseeh hongera hisabati term iliyopita ulipata ngapiNdo naenda kidato cha nne mkuu
Kitabu ni kigumu sana asikwambie mtu
Bagishaghe balangaBy by mkuu
Mya kwa myaaaaaaAseeh hongera hesabu term iliyopita ulipata ngapi
HahahaMya kwa myaaaaaa
Dah kwa. Kweli ni safar ndefu sana sister ngoja tu nikomae hakuna namnaMaisha ya shule ni Safari ndefu
Vumi vumilia ni Safari ndefu
Asiyependa shule ni Mjinga kabisa
Barua ikija anashindwa kusoma
Mabata Madogo Madogo
Yanaogelea katika maji
Yanaliaa kwakwakwaa na vichwaa juuuuuu
Pole sana Kaka angu najua ukirud Utakuja na madini mapya wanaokuponda wanakusifia kimya kimyaaaDah kwa. Kweli ni safar ndefu sana sister ngoja tu nikomae hakuna namna
HahahahMmmh...yaani we jamaa una vituko utafikiri ulibemendwa utotoni...