gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,048
Ukirudi urudi na I'd ya nanyupu aisee ilikua haina hizi mambo za kitoto kabisaAsante sana sister lakin nitawakumbuka sana
Usisahau kuja silediii za majina ya utan ya walimu na Jinsi ulivyowagegeda walimu wa kikeeeAsante sana sister nikilud narud na madini mapya acha tu nikasome
Mbona umemung'ang'ania sana huyo mtoto usije ukambemenda bure[emoji13] [emoji12] [emoji56] [emoji1]Usisahau kuja silediii za majina ya utan ya walimu na Jinsi ulivyowagegeda walimu wa kikeee
Haha utaenda eapoti? NotedSaiv niko home napata mawaiza flan hivi kutoka kwa wakulu kesho safar itaanza saa moja jion pale mwanza air port
Karudia! Ilikuwa aingie Form 3! Ila imeshindikana!Vipi upo form ngapi chaliiake?
Kuna mademu anapata humu!Ww dogo huna akili kabisa..unafaidika nin na kuandika upupu ili uwe maarufu? Alaf itakusaidia nin..acha kuwa ka msukule ka ushirombo dogo
Unaukumbuka ule Uzi wake kuhusu dogo!Ah ah ah ah ah ah ah ah Nimecheka Sana Wee Mzee
Kwa Mara Ya Kwanza Nakuona Ume Comment Katika Uzi Wa Beira
Kumbe ndio huyu!