Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kuna sehemu alionyesha dalili za kuaga hivyo nikawa nategemea kitu kama hiki.Hiyo kujua veepee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna sehemu alionyesha dalili za kuaga hivyo nikawa nategemea kitu kama hiki.Hiyo kujua veepee
Kumbe wanaoondoka wameshapata wachumba eee [emoji85]
Ok asante hata kama hujani pm ndio shaa jua sababuNop ile sio yang,ya mwngn,mm nmeandika Arabian girl
OoohKuna sehemu alionyesha dalili za kuaga hivyo nikawa nategemea kitu kama hiki.
For whtArabian, do you have a short temples
Siwawez kwa uongo[emoji23][emoji23]leo Kila mtu atasema alikua anataka kunambia Jambo.hahahahaWanaume utawaweza queenie...
Ha ha ha nipo mzee mambo yalikuwa meng halafu shemej zako nao wakawa wamepiga kambi maeneo
Ulikua hujui kwani[emoji23][emoji23]ndio ivo shogaaKumbe wanaoondoka wameshapata wachumba eee [emoji85]
UmeonaeeSiwawez kwa uongo[emoji23][emoji23]leo Kila mtu atasema alikua anataka kunambia Jambo.hahahaha
Sijambo my.Oooh
Uko poa lakini...
Sakayo left
[emoji87][emoji87]sehem gani ,ahhh kuleeKuna sehemu alionyesha dalili za kuaga hivyo nikawa nategemea kitu kama hiki.
Sababu gani io tenaOk asante hata kama hujani pm ndio shaa jua sababu
Acha tu mzee bando langu lilikuwa lile la halichachiAisee karibu, hapo nimekuelewa, maana ukiangalia hali ya hewa ilivyokuwa siku hizi chache unajua tu nini ni nini.
Hahahaha hahahaha weweeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oooh
Uko poa lakini...
Sakayo left
Sijajua mana ulivyokuja kule kwa Waziri Mkuu ukaniacha hewani [emoji2] [emoji2]Ulikua hujui kwani[emoji23][emoji23]ndio ivo shogaa
HahahaSijambo my.
Umenifanya nicheke. Kirahisi rahisi hivyo. Umemuaga kaka T lakini
Ahhh alinikera sana Ila mpelekee salamu kua nishamsamehe niondoke jf kwa wema na amaniBinamu yako wapi nyoka mzee??
Tutakukumbuka hususani kwenye kijiwe cha kahawa
Acha tu mzee bando langu lilikuwa lile la halichachi
Ni Mimi tu mwenyewe.Hahahaha Basi mlikua wengi