Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Usifanye hivyo wewe ujue sio vizuri. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Utanisaidia kumuaga bhana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye hivyo wewe ujue sio vizuri. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha
Utanisaidia kumuaga bhana...
Hahaha,nmewaleft wengine,ww bado upo ktk list [emoji28][emoji1][emoji2]Sijajua mana ulivyokuja kule kwa Waziri Mkuu ukaniacha hewani [emoji2] [emoji2]
Unavisa ww[emoji23]Hahaha
Utanisaidia kumuaga bhana...
Ndio kule kwa jana. [emoji124] [emoji124][emoji87][emoji87]sehem gani ,ahhh kulee
Daaah siamini kama unasepa.Ahhh alinikera sana Ila mpelekee salamu kua nishamsamehe niondoke jf kwa wema na amani
Mmh. Kweli aisee. Ila ni masharti magumu hayo.Sasa kama nimekupata kupitia chitchat naanzaje kukuruhusu uendelee kuchitchat.
[emoji23]ukaniagie na mzeewakungoa pia
Hahaha kidumme gani ten uyo mkuuEt kuna kidume kimekichimba bit usiingie humu jf
Ha ha ha ha Hilo wabak nalo wwnyewe kwa kwelMkuu sasa hivi kuna kitu Jaza Ujazwe, usije kuwa umeunganisha nayo hii.
Hiyo sababu mbona haina mashiko. Me sioni kama jf inaweza kumzuia mtu kutenda majukum yake.Majukumu ,pia ni uamuzi binafsi
Mmh. Kweli aisee. Ila ni masharti magumu hayo.
Amiinulale mahal pema peponi
Ha ha ha ha Hilo wabak nalo wwnyewe kwa kwel
Situmii mtandao mwngn zaid ya instaTukutane fesibuku au huko nako umejitoa?
Nmeamua ,kujiepusha na mengi[emoji28]Hiyo sababu mbona haina mashiko. Me sioni kama jf inaweza kumzuia mtu kutenda majukum yake.
Hahaaa.Utazoea tu, vinginevyo huitaki ndoa.
instar watumia nani labda ntaku followSitumii mtandao mwngn zaid ya insta