Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #461
Maskini we !!kumbe hata ww ulikua unafatilia[emoji26]sorry Ila kwa machache nliyoyaleta natumai yatawasaidia insha AllahSasa hata zile mambo za kutunza mwili mfano uso kwa njia za asili ndo kwanza sijakopi. Unadai unaondoka, aaah... Vitu natural ndo basi tena au? Kuwa na huruma basi!
Uwiiii sitaki bby jmn nionee huruma niombe vitu vingine. Niachie tu wanaume wako wengi duuuh[emoji38] sikia kilio changuHahaha jamani mamyy hutaki share ww
Hahahaha[emoji38][emoji38]mwite na beby wako hapa tufanye share
UMESEMA [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Alivyo mtata sasa kaz ipoHahaha ndio,uyouyo
Hapana nimeita shemeji kwanza wa BomaHahahaha[emoji38][emoji38]mwite na beby wako hapa tufanye share
Kigori[emoji23] [emoji39] [emoji39] [emoji39] Naja PM, Tutee kidogo.Nina account yang ya insta nimeeka mapishi 500+ ukijiskia nikuadd utanifata kwa mda wako,mapishi utajifunzia kule,huo ndio mtandao wangu wa kipekee nmeufungua kwa maslahi tu ya kujiekea posts zang kama izo za mapishi na kuwafollow baadh ya watu tu.
Alaf mie sio mama[emoji23][emoji23]ndo kwanza kigori
JF ya ajabu sana. Unaweza kuta mtu anakufuatilia bila kuchangia chochote, mwisho wa siku credit zako anakupa kimoyo moyo. Mfano mimi, huwa siwezi kuchangia ila nasoma na kufuatilia,kujaribu. Leo yamenikuta na kunishinda... Nime type.[emoji17] [emoji17]Maskini we !!kumbe hata ww ulikua unafatilia[emoji26]sorry Ila kwa machache nliyoyaleta natumai yatawasaidia insha Allah
Shem nimekosea kidogo tu na nimesha rectify. Naomba unisadie kuomba maana duuh[emoji85]UMESEMA [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kasahau ule usemi wa kizuri kula na nduguyo.[emoji85] [emoji85]Hahaha jamani mamyy hutaki share ww
[emoji23][emoji23][emoji23]uko makinii...Bora uwe ivoivo Mana ukilegea tu,mm namchukua mamy,alaf si unajua nilianza kumvizia kitamboUwiiii sitaki bby jmn nionee huruma niombe vitu vingine. Niachie tu wanaume wako wengi duuuh[emoji38] sikia kilio changu
Wacha wee. [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kuanzia kesho simuachi peke yake. Naomba ruhusa mie kazin naenda nae job
Afadhali shem, please naomba mbesi ya maombiNajua tu mim kuna mwengne bas
Wewe umekula na Nan kwa mfano?Kasahau ule usemi wa kizuri kula na nduguyo.[emoji85] [emoji85]
Nichangieni[emoji23][emoji3]UMESEMA [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]