Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #461
Maskini we !!kumbe hata ww ulikua unafatilia[emoji26]sorry Ila kwa machache nliyoyaleta natumai yatawasaidia insha AllahSasa hata zile mambo za kutunza mwili mfano uso kwa njia za asili ndo kwanza sijakopi. Unadai unaondoka, aaah... Vitu natural ndo basi tena au? Kuwa na huruma basi!