Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #501
Maskini wee,polee.JF ya ajabu sana. Unaweza kuta mtu anakufuatilia bila kuchangia chochote, mwisho wa siku credit zako anakupa kimoyo moyo. Mfano mimi, huwa siwezi kuchangia ila nasoma na kufuatilia,kujaribu. Leo yamenikuta na kunishinda... Nime type.[emoji17] [emoji17]