Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,587
Nirkuwa najua umeolewa tearInamaana siku zote izo Niko jf ulikua unanichukuliaje Kwan,[emoji28][emoji2]
Wala Hamna kikubwa kilichonifnya nijitoe,ni uamuz wangu binafs tu,kutokana na majukumu yang mengn na sabbu zngn binafs piaNatamani ungekuwa umeweka baadhi ya sababu zinazokufanya ujitoe ili mods wachukue kama changamato za kufanyia kazi kama wanaweza kufanya hayo
Mm si mtu wa mitandao,natumia insta tu,na nmeeka private n kuwafollow wtu wachche tu,kama waandishi wa stry tu bas.Haya bwna ukawasalimu huko uendako kwenye social media zingine
Hah ah ahahah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]usiwape watu faida hapa,pm yang iko nyeupeee,Sina bahat mm jf [emoji3]hata wewe jamani
Full money hapa ,natumia wi_fi though,bando fullBando bando
Imekaa vzr hiyo ila sababu hujawekaMm si mtu wa mitandao,natumia insta tu,na nmeeka private n kuwafollow wtu wachche tu,kama waandishi wa tu bas.
Nina account yang ya insta nimeeka mapishi 500+ ukijiskia nikuadd utanifata kwa mda wako,mapishi utajifunzia kule,huo ndio mtandao wangu wa kipekee nmeufungua kwa maslahi tu ya kujiekea posts zang kama izo za mapishi na kuwafollow baadh ya watu tu.Sasa hayo mapishi ya Ramadhani utafubdishia wapi we mama! Hapa ndio pa kukazia kazia saumu wangu muda ukiyoyoma
Nipe jina unalotumiaNina account yang ya insta nimeeka mapishi 500+ ukijiskia nikuadd utanifata kwa mda wako,mapishi utajifunzia kule,huo ndio mtandao wangu wa kipekee nmeufungua kwa maslahi tu ya kujiekea posts zang kama izo za mapishi na kuwafollow baadh ya watu tu.
Nlishawah kueka ktk profile hukuion kwanKama kweli utatumis tuachie picha yako really nasisi tutakukumbuka
Pole,kwa kigezo kipi ,ulifikia kunifikiri hivyo?Nirkuwa najua umeolewa tear
[emoji28]Hah ah ahahah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huna mapepe mapepe mengi kma vibinti vya humuPole,kwa kigezo kipi ,ulifikia kunifikiri hivyo?
Kesho mie naagaHee jana sky kaaga leo wewe jamani. Mbona hivyo!!??
Ramadhan njemaHali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Kuna wengine ambao wameleft!?Kuna shida gan mbona member wana left sana
Kwa post hii kadada, naanza kuelewa ni kwanini unajitoa JF[emoji23]usiwape watu faida hapa,pm yang iko nyeupeee,Sina bahat mm jf [emoji3]hata wewe jamani