Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Natamani ungekuwa umeweka baadhi ya sababu zinazokufanya ujitoe ili mods wachukue kama changamato za kufanyia kazi kama wanaweza kufanya hayo
Wala Hamna kikubwa kilichonifnya nijitoe,ni uamuz wangu binafs tu,kutokana na majukumu yang mengn na sabbu zngn binafs pia
 
Haya bwna ukawasalimu huko uendako kwenye social media zingine
Mm si mtu wa mitandao,natumia insta tu,na nmeeka private n kuwafollow wtu wachche tu,kama waandishi wa stry tu bas.
 
Pole mwaya, wivu wa mapenzi ndio hivyo inabidi u sacrifice mengine ili kutafuta amani
 
Sasa hayo mapishi ya Ramadhani utafubdishia wapi we mama! Hapa ndio pa kukazia kazia saumu wangu muda ukiyoyoma
Nina account yang ya insta nimeeka mapishi 500+ ukijiskia nikuadd utanifata kwa mda wako,mapishi utajifunzia kule,huo ndio mtandao wangu wa kipekee nmeufungua kwa maslahi tu ya kujiekea posts zang kama izo za mapishi na kuwafollow baadh ya watu tu.
Alaf mie sio mama[emoji23][emoji23]ndo kwanza kigori
 
Nina account yang ya insta nimeeka mapishi 500+ ukijiskia nikuadd utanifata kwa mda wako,mapishi utajifunzia kule,huo ndio mtandao wangu wa kipekee nmeufungua kwa maslahi tu ya kujiekea posts zang kama izo za mapishi na kuwafollow baadh ya watu tu.
Nipe jina unalotumia
 
Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.

nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.

Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.

Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.

Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.

Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Ramadhan njema
 
Back
Top Bottom