Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
-
- #101
Mnataka kunipakazia ee[emoji28][emoji2]mm pm yang nyeupeee Sina bahat jf[emoji26]Aya bhna sema mdau kasema kweli. Maybe PM yko ina matatzo manake ata me nliku, pm kmyaa
Sky aliaga jukwaa gani? Mweeh namie itabidi niage sasaHee jana sky kaaga leo wewe jamani. Mbona hivyo!!??
Sawa mkuuNipo mkuu sema tu hunioni
SimkumbukiSky eclat,mwngn ni nani
Let's enjoy our last chat with u ol,jumamosi sitoonekana tena jf,Arabian queen itakua makumbushooUsijitoe tafadhali bahati yako ipo, sema ni suala la muda tu na subira yako ndo mafanikio yako.
Naomba sasa nitumie nafasi hii kukutaka usitishi mpango wako.
Na kuanzia sasa naomba niwe rafiki yako namba moja.
Haiwa naujuaUnafahamu usafiri wa umma unaoitwa daladala?
Thank u alot[emoji3]Yap umetulia na unaonekana una kila cifa
Wewe huruhusiwi kuondoka humu umeelewa ... Yaani we uondoke wee .....acha matani ya ngumi weweHahaha
Au niondoke saivi tuu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] kwa njia hii bahat mbna unapata. Inabd utu pm wewe labda. Jarbu kunipmMnataka kunipakazia ee[emoji28][emoji2]mm pm yang nyeupeee Sina bahat jf[emoji26]
Shukran sana,jf sirudi tena[emoji26]Nakutakia mfungo mwema, ukimaliza uje tena jf
Namba zako bac (pm) dearThank u alot[emoji3]
Usiondoke[emoji23]ukaja kuwaliza kwa Mara ingineHahaha
Au niondoke saivi tuu
Tutawasliana pm dear then ntakupaKabla hujaondoka namba zako
Basi njoo pm nikuagize dadanguShukran sana,jf sirudi tena[emoji26]
Mijana mike mingine banah. Unatafuta kiki kwa nguvu. Ukijitoa si inatuhusu niniHali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.
nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.
Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.
Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.
Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.
Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Numbisa[emoji23][emoji23]hahaha unavisa ww.
System yake ikoje kuhusu abiria kwenye upakiaji?Haiwa naujua
Hahaha[emoji23]umekua mchezo sasaSky aliaga jukwaa gani? Mweeh namie itabidi niage sasa
Ohhh,owkeySimkumbuki