Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Usijitoe tafadhali bahati yako ipo, sema ni suala la muda tu na subira yako ndo mafanikio yako.
Naomba sasa nitumie nafasi hii kukutaka usitishi mpango wako.
Na kuanzia sasa naomba niwe rafiki yako namba moja.
Let's enjoy our last chat with u ol,jumamosi sitoonekana tena jf,Arabian queen itakua makumbushoo
 
Hali zenu wapendwa [emoji2].
Nianze bismillah....
Nilijiunga jf miez michache tu iliyopita,nashkuru nimejifunza mengi kupitia jf,pia wapo waliojifunza kutoka kwangu japo ni machache.

nilijiunga kutokana na kutoa mawazo tu kwa mda(temporarly),nlitaka kujitoa mda kdg lkn nkavuta subra,lkn nahis sasa wakati umewadia wa kujitoa jf.

Hakika nitawamiss nyote,nitawakumbuka ,kama yupo ambaye nilimkosea ningeomba anisamehe,kwa alienikosea nilishasamehe mda.

Mwenye neno la mwisho la kuongea ndani ya sikumbili hizi aseme,niliemkosea aje aseme ntamuomba msamaha pia hapahapa,nataka niiache jf kwa roho safi kabisa,staki niondoke hali ya kua mtu kaniwekea dukuduku.

Ntabaki jf mwisho ijumaa usk(kesho),baada ya hapo sitopatikana tena jf.

Nawapenda nyote na nitawakumbuka nyote.[emoji257]
Mijana mike mingine banah. Unatafuta kiki kwa nguvu. Ukijitoa si inatuhusu nini
 
Back
Top Bottom