Nitawamiss nyote

Nitawamiss nyote

Ni yule boyfriend wako uliemkwapua hapa JF ndo amekushauri ujitoe JF jamani? [emoji53][emoji53][emoji53].......... Sifa na utukufu ziende pm kwa kufanya kazi nzuri![emoji4]
 
[emoji2] [emoji2]
Kama unataka kuuona ongeza kawiki angalau nipate nguvu ya kuandika. Ila maisha bhana nilikua kwenye mchakato kubadili dini ili tuende sawa[emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125]
Hahaha,sas mbn unanibania si unambie tu,ili nkiondoka angalau niondoke nkiwa na furaha
 
Ni yule boyfriend wako uliemkwapua hapa JF ndo amekushauri ujitoe JF jamani? [emoji53][emoji53][emoji53].......... Sifa na utukufu ziende pm kwa kufanya kazi nzuri![emoji4]
Sjamkwapua jf mwanaume yyte yule,he is out of jf ,nmejuana nae nje not here.
 
images(2).jpg

Siku Numbisa akiaga JF mimi najinyonga![emoji53]
 
Back
Top Bottom