Kaparo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,072
- 5,053
Matikiti bila shaka.Umechangamka kweeli
Ni yale maboga au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matikiti bila shaka.Umechangamka kweeli
Ni yale maboga au
Namshangaahakujui huyo
Kwamba unasepa,kwani hujamuaga?Ya nn
Ohooo... PambanaUlinitolea nje
Nitawolewa tuu shemu...[emoji23][emoji23][emoji23]
Walai nyie siwawezi bora muwolewe tu . Hahaha dude la nani?
Aaamenili uokoke na usimame njia kuu uachane na michepuko
Ndo ukomeee MndaliNdo umeona umwitee Mme wake
Hapana siwezi kumtia majaribuni dadanguKabisaa
Asikutie majaribuni
SilijuiNitawolewa tuu shemu...
Hehehee, we hujui dudee
Umeonaeemkiitwa snitch mnalia lia
We Liamshe tuu, mzee wa upako atalizimaNaliamsha dude.
nakuombea waendelee kukujaza kwenye promotion yaoTigo wafanye nini?
Nimekukatia tiketi ya kilimanjaro uje kesho
AmeenHaleluyaa
Aaah mimi sijamwita kwa mabaya maana nina zawadi yakeNdo ukomeee Mndali
na ndio mana ikashindikana nikawa mwanaoYaani ungekuwa wewe sio mwanangu ningekuwowaga husemagi uwongo.
Na utajazwa kweeeli, we leta utani tuu... Hayo mahela ukijazwa unikumbuke na mie redbullBamdogo wako mimi huyo.
Haha haya bwana niombee pia nijazwe mapene teletele nikienda japan nirudi na dozen ya vi baby walker kako na mama zako wadogo wote
[emoji2] [emoji2]Umechangamka kweeli
Ni yale maboga au
Yamekuwa hayooo tenaNaomba nijue jinsia yako kabla sijaamsha mizuka ya wandali
sijamuelewa ujue sijui kafikilia nini nitamuuliza kuleKabisaa
Asikutie majaribuni
[emoji3][emoji3]na ndio mana ikashindikana nikawa mwanao