Gypsum Screw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 701
- 895
Kazi za wanaume anatumwa chura ulitegemea nini? Hiyo ilani ingetekelezeka chini ya Rais wa kweli JPM tu sio huyu mwanasesere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabaki tu ni manifesto wala siyo Biblia au Quran ambayo huwezi kubadili.Manifesto is not expectation (wasema matarajio) ni declaration ya sera na malengo ya chama.
For clear definition manifesto is a public declaration of policy and aims, especially one issued before an election by a political party or candidate.
Na wapiga kura huwa na muda wa kuchambua hiyo manifesto na kuangalia sera kisha siku ya kupiga kura ni siri yake atachagua chama kipi.
Afrika Kusini juzi wamefanya wamegawa kura, Ufaransa wamefanya wamegawa kura na hata Uingereza huko wamekiondoa kabisa chama cha wahafidhina sababu ni kwamba wananchi hawajaona hizi manifesto zikitekelezwa.
Angalau umeleewa nilichosema.Inabaki tu ni manifesto wala siyo Biblia au Quran ambayo huwezi kubadili.
Ya Afrika Kusini, Ufaransa na Uingereza yanabaki huko huko.
Mfuate pale Chato tumemfukia. Angekuwa mwanaume wa kweli asingekufa na mafua ya coronaKazi za wanaume anatumwa chura ulitegemea nini? Hiyo ilani ingetekelezeka chini ya Rais wa kweli JPM tu sio huyu mwanasesere
Wewe si umeona hayo niliyoeleza hapo Juu,kwani yote Yako kwenye ilani?Hakuna chama chochote cha kisiasa kinokwenda kinyume na ilani ya uchaguzi au manifesto.
Manifesto huja baada ya kumaliza kampeni na hii ndo mwelelekeo wa chama na serikali yake pale kinaposhinda uchaguzi.
Hii ipo popote pale duniani tafuta fanya utafiti na utaelewa.
Huna haja ya kutetea ufisadi.
Nimeyaona lakini mleta mada amesema asilimia 30 ya ilani ya 2020-2025 imefanywa kwa asilimia 30 tu!Wewe si umeona hayo niliyoeleza hapo Juu,kwani yote Yako kwenye ilani?
Ya kweli haya mkuu?Ilani ni mtarajio subject ya availability ya parameters zingine kama fedha, bilateral and multilateral support, centrist Paribas.
All in all aliyofanikisha Rais Samia ni mengi hata kama hajakamilisha ilani. Tumpe maua yake hata kama tunamchukia kwa Uzanzibari wake. Natumia hapa materials za ChoiceVariable
Kwa wasio fahamu, haters na wabishi hii hapa ni summary tuu ya kilichofanywa na Samia.👇👇
1-Mapato ya TRA kuongezeka kutoka wastani wa 1.5T Hadi 2.5T(ongezeko Trilioni 1 )
2-Makusanyo ya Halmashauri kuongeza kutoka Bil.800 Hadi Trilioni 1.2 (Ongezeko Bil.400)
3-Ongezeko la Mapato ya Utalii Hadi 3.5T (Watalii 1.9m) kutoka 3T (Watalii 1.5mln).
4-Ujenzi wa Bandari Ziwa Nyasa (MbambaBay), Ziwa Tanganyika (Kigoma), Ziwa Victoria (Mwanza, Bukoba, Chato) na Bahari ya Hindi (Dar,Tanga, Kilwa na Mtwara).
5-Ujenzi wa viwanja wa ndege 15 Unaendelea Tanzania nzima eg Sumbawanga,Tabora, Shinyanga, Kigoma, Ruaha NP, Nyerere NP, Moshi, Iringa nk huku akikamilisha viwanja vya Songwe, Songea, Iringa na Katavi.
6-Ujenzi wa Hospital za Wilaya mpya 129, Mikoa 7 na Rufaa za Kanda 3 (Mtwara, Kigoma na Ukerewe).
7-Ujenzi wa Vituo vya Afya vipya 402 kwenye kata za kimkakati hapo tozo za miamala (234).
8-Ununuzi wa vifaa tiba ambavyo havikuwahi kuwepo Kwenye hospital za Tanzania mfano Ultra Sound 192, Digital X-rays 147, CT Scan 32, MRI machines 7.
9-Ujenzi wa majengo ya Wagonjwa Mahututi (ICU) 28 na Dharula 127,
10-Upanuzi na Ujenzi wa Vyuo Vikuu vipya na kampasi za Vyuo kwenye Mikoa 14 ambayo awali haikuwa na Vyuo Vikuu au kampasi eg Kigoma, Simiyu, Njombe, Ruvuma, Rukwa, Katavi, Shinyanga, Lindi, Mtwara nk.
11-Kaongeza Bajeti Kila Wizara ila Kwa upekee ni Wizara ya Kilimo (Umwagiliaji ) kutoka Bil.270 Hadi Bilioni 950. Skimu Mpya za uwamwagiliaji hectare 95,000 zimejengwa na kufufuliwa, kafungua ofisi za Kilimo Kila Wilaya na kaajiri Wataalamu na kawapa vitendea kazi.
12-Kaondoa shida ya vitambulisho NIDA, zaidi ya vitambulisho 12,000,000 vimegawiwa.
13-Ujenzi wa minara mipya 1,200 ambapo Kupitia mradi wa Tanzania ya Kidijitali minara 728 inaendelea na Ujenzi Kwa Bilioni 126.(Kijijini kama mjini)
14-Amefikisha maji ya Bomba Kwa zaidi ya Vijiji 11,000.(Kampeni ya kumtua Mama ndio kichwani).
15-Amefikisha umeme Kila Kijiji,kazi inaendelea kwenye vitongoji na migodi ya umeme.
16-Amewasha Umeme gridi ya Taifa Mikoa Kigoma, Katavi na kazi zinaendelea Rukwa, Lindi, Mtwara.
17-Kazi zinaendelea ujenzi wa Vyanzo vipya vya Umeme eg Mto Malagalasi, Kakono, Umeme Jua Kishapu, Joto Ardhi Mbeya nk
18-Amejenga zaidi ya Shule Mpya za Sekondari 3,200, shule za msingi zaidi ya 300 na madarasa 24,000, mabweni 137 nk
19-Kupitia TanRoads amekamilisha zaidi ya km 1,000 za lami na zingine zaidi ya 3,700 zinaendelea na Ujenzi.
20-Kupitia Tarura amejenga zaidi ya km 800 za lami na zingine zaidi ya 500 zinaendelea na Ujenzi (Hapa amefungua maelfu ya Vijijini Kwa Barabara Mpya za changarawe na madaraja). Bajeti ya Tarura aliongeza kutoka bil.270 Hadi Bil.800.
21-Sekta ya mifugo amegawa Boti za Kisiasa zaidi ya 200 na vizimba zaidi ya 1,300 Kwa Vijana.
22-Sekta ya Elimu kaongeza mikopo Kwa wanafunzi ambapo Sasa Diploma Hadi Chuo Kikuu wanapata,chekechea Hadi form six Elimu Bure (kafuta ada ya form Six), Kafuta Mapenati na mambo ya hivyo ya Bodi ya Mikopo.
23-Katoa Ajira zaidi ya 55,000 kada zote huku Elimu na Afya wakipewa kipaumbele.
24-Anajenga na kukamilisha zaidi ya miradi ya maji 3,700 mikubwa Kwa midogo mfano mradi wa Miji 28, bwawa la kidunda na kukwamua miradi iliyokwamba kama Same-Mwanga,Tarime-Kiabakari nk.
25-Kwenye sekta ya biashara baada ya maboresho maelfu ya miradi imemenika Kila sekta baada ya Wafanyabiashara kurejesha Imani Kwa Serikali Kupitia sera ya Diplomasia ya Uchumi na kuifungua Nchi. Hakuna ziara ambayo mama alifanya Nje ya Nchi hajakutana na Wafanyabiashara wa Kimataifa.
26-Sekta ya michezo na Burudani. Huko Kila mtu anajua kwamba Mama alikarabati viwanja, akaleta ufunguzi wa AFL na sasa ameileta Afcon 27 na uwanja Mpya inajengwa Arusha. Likewise kuwapa mikopo Wasanii.
27-Ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) 100. Lengo Kila Wilaya na Mkoa iwe na Chuo Cha ufundi.
28-Kaongeza Boom Kutoka 8,500 Hadi 10,000
29-Amefufua sekta ya Nyumba ilivyokuwa imekufa
30-Amefungua Uchumi, Watalii na Biashara Vinamiminika mfano ni kuzinduliwa Kwa viwanda vya Vioo, magari na mbolea
31. Amemalizia 65% ya mradi wa JHNEP huko pori la Selous na kuweza kuwasha mashine 2 za umeme
33. Amemalizia Lot 1 & 2 za SGR ambazo zilikuwa chini ya 35% wakati mtangulizi wake anafariki.
34. Ameendeleza kumalizia daraja la Busisi ambalo lilo zaidi ya 95%
CCM WOTE NI WAPIGA DILI WANAKULA KWA UREFU WA KAMBA TENA KWA KUPOKEZANAHabari zenu.
Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025.
Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi.
Nimeangalia kipengele kimoja tu cha Ujenzi wa miundombinu katika majiji hasa jiji la Dar. Hakuna kilichotekelezwa kulingana na ilani ya CCM.
Tazama hizi flyover zote zilizoahidiwa kujengwa Dar kati ya 2020 hadi 2025. Na huu ni mfano tu kuwa CCM wajitafakari wakija kuchagua Serikali yao 2025.
View attachment 3038618
Kati ya flyover saba mbili tu ndo zimejengwa na kukamilika. Na leo ni 2024 july.
Ujenzi wa Barabara Dar es Salaam kama wanavyosema kwenye ilani hazijajengwa hata robo yake.
View attachment 3038619
Hebu oneni wenyewe mipango kabambe iliyo kwenye ilani ya CCM 2020-2025. Kama imetekelezwa.
Huko huko CCM mjitafakari kama mtaruhusu serikali hii ya sasa mnayoisimamia kuendelea kutawala mpaka 2030. Tuangalia future ya Taifa hili sio matumbo yetu. Hope mnasikia Wajumbe wa CCM 2025
Ilani yote ya 2020-2025 hii hapa. Isomeni na mlinganishe yaliyotekezwa mpaka sasa mwaka mmoja ukiwa umebaki muda kuisha 2025
Kwani ni mara ya kwanza, 2020 nilichambua humu jinsi ilani ya CCM haikutekelezwa hata 50% ikiwemo ahadi ya meli 5 kubwa za uvuvi bahari ya hindi na ajira elfu 50 za moja kwa moja kupitia meli hizo!! Lakini CCM sio tu ilirudishwa ila ilishinda kwa 88%!! Kwahiyo hata 2025 mambo ni yale yale itaandaliwa ilani mpya bila kwanza kufanyika tathmini ya mafanikio ya ilani na NEC itawapa ushindi wa 90%!!
Bila katiba mpya hakuna ilani itatakelezwa
JPM yupi? Aliahidi viwanda kila wilaya, million 50 kila kijiji, pamoja na ajira milion 2 vipi alitekeleza? Wote ni wale wale tu.
Ni uongo,kwanza amechukua sampling ya sekta Moja na Mkoa mmja lakini haja consider yaliyofanyika ila Yako Nje ya ilani.Nimeyaona lakini mleta mada amesema asilimia 30 ya ilani ya 2020-2025 imefanywa kwa asilimia 30 tu!
Anyway, jamaa wa TRA fedha aloficha nyumbani kwake (bilioni 7 ) mngeipeleka kule kwenye shule watoto wasomea chini na shule zingine za aina hiyo.
Ni aibu kutetea chama cha Mapinduzi ambacho chatawala Tanzania miaka zaidi ya 62 watoto wasomea chini na hawana ubao.
Zipo sehemu zingine za nchi yetu kuna vijidaraja vya mbao ambavyo ni hatari kwa maisha ya watu mngejenga angalau vidaraja vidogo.
baba yako mzazi mbona kafa kaacha laana aliyosahau kuivalia condom inasumbua JF? je na yeye hakua mwanaume?Mfuate pale Chato tumemfukia. Angekuwa mwanaume wa kweli asingekufa na mafua ya corona
Mama alikwisha sema wapigieni kura hao ila CCM ndiyo itaunda serikali.Habari zenu.
Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025.
Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi.
Nimeangalia kipengele kimoja tu cha Ujenzi wa miundombinu katika majiji hasa jiji la Dar. Hakuna kilichotekelezwa kulingana na ilani ya CCM.
Tazama hizi flyover zote zilizoahidiwa kujengwa Dar kati ya 2020 hadi 2025. Na huu ni mfano tu kuwa CCM wajitafakari wakija kuchagua Serikali yao 2025.
View attachment 3038618
Kati ya flyover saba mbili tu ndo zimejengwa na kukamilika. Na leo ni 2024 july.
Ujenzi wa Barabara Dar es Salaam kama wanavyosema kwenye ilani hazijajengwa hata robo yake.
View attachment 3038619
Hebu oneni wenyewe mipango kabambe iliyo kwenye ilani ya CCM 2020-2025. Kama imetekelezwa.
Huko huko CCM mjitafakari kama mtaruhusu serikali hii ya sasa mnayoisimamia kuendelea kutawala mpaka 2030. Tuangalia future ya Taifa hili sio matumbo yetu. Hope mnasikia Wajumbe wa CCM 2025
Ilani yote ya 2020-2025 hii hapa. Isomeni na mlinganishe yaliyotekezwa mpaka sasa mwaka mmoja ukiwa umebaki muda kuisha 2025
Tufanye ndio kweli ila unatakiwa ujue kwamba Kuna miradi mingine imefanywa Nje ya ilani mfano njia 8 za kimara,bwawa la Nyerere,Daraja la Magufuli Mwanza nk ambazo ndio zimekula hela ambayo ingsfanya hayo ya kwenye ilani.
Hata hivyo Kuna mamia ya km za Barabara zimejengwa na zinaendelea kujengwa hapo Dar na wewe unajua na zingine nyingi sana hazikuwa kwenye ilani.
On top of that Kuanzia mwaka huu DMDP 2 inaanza ujenzi wa km 250 za lami hapo Dar na Daraja la Jangwani ,zote hizo hazikuwa kwenye ilani.
Mwisho msiwe mnachagua watu wanapenda kinyume na mliyokubaliaka wao wanakuwa na ilani zao kichwani 😂😂😂😂
By the way Samia ametoa Hadi bonus ya Afcon and related infrastructures,yaani aliyofanya ni mengi kuliko ya kwenye ilani yenyewe.
Wana ccm hawawezi fanya kosa la kutoipitisha Serikali iliyotekeleza ilani Kwa Ukubwa na kutoa bonasi Juu.
Kweli tupu. Ilani umeandika mwenyewe na wewe ndiye mwenye uwezo wa kuibadiliYa kweli haya mkuu?
Na wewe mimba yako mama yako alitunga nje ya tumbo la uzazi, ndiyo maana unachojuwq ni matusi tubaba yako mzazi mbona kafa kaacha laana aliyosahau kuivalia condom inasumbua JF? je na yeye hakua mwanaume?
Ukisikia mtu anasema yeye sio mwanasiasa muogope kama ukoma ,ni muhongo , siasa ni maisha yetu ya kila siku ,Habari zenu.
Mimi sio mwanasiasa lakini leo kama mtanzania mpenda maendeleo nilidownload ilani ya CCM 2020-2025. Ili walau nipate hope na serikali ya Sasa na kama kweli wanatimiza walichoahidi mwaka 2020 kuelekea 2025.
Aisee nimesikitika sana. Kwa hali hii hatuendi popote kama nchi.
Nimeangalia kipengele kimoja tu cha Ujenzi wa miundombinu katika majiji hasa jiji la Dar. Hakuna kilichotekelezwa kulingana na ilani ya CCM.
Tazama hizi flyover zote zilizoahidiwa kujengwa Dar kati ya 2020 hadi 2025. Na huu ni mfano tu kuwa CCM wajitafakari wakija kuchagua Serikali yao 2025.
View attachment 3038618
Kati ya flyover saba mbili tu ndo zimejengwa na kukamilika. Na leo ni 2024 july.
Ujenzi wa Barabara Dar es Salaam kama wanavyosema kwenye ilani hazijajengwa hata robo yake.
View attachment 3038619
Hebu oneni wenyewe mipango kabambe iliyo kwenye ilani ya CCM 2020-2025. Kama imetekelezwa.
Huko huko CCM mjitafakari kama mtaruhusu serikali hii ya sasa mnayoisimamia kuendelea kutawala mpaka 2030. Tuangalia future ya Taifa hili sio matumbo yetu. Hope mnasikia Wajumbe wa CCM 2025
Ilani yote ya 2020-2025 hii hapa. Isomeni na mlinganishe yaliyotekezwa mpaka sasa mwaka mmoja ukiwa umebaki muda kuisha 2025
Kwa hiyo Mbowe amesababisha mkwamo kwenye ilani ya ccm? Abdul mtoto wa kiume wa Kizimkazi ameanzisha urafiki na adui wa taifa Rostam Aziz....tutashuhudia mengi kabla 2030Mwanasiasa mzuri ni yule mwenye uwezo wa kuelezea kwa nini hajafikia lengo, na kuonyesha the way forward. Ukishindwa hilo, achana na siasa.
Mbowe alishawahi kuahidi chadema isipochukua nchi anaachana na siasa, chadema haijachukua nchi, na Mbowe anadunda tu katika siasa baada ya kujieleza
aheri mimi ninayekutukana wewe mpumbavu unayepumua bila kuwa na faida yoyote kuliko wewe unayemtukana marehemuNa wewe mimba yako mama yako alitunga nje ya tumbo la uzazi, ndiyo maana unachojuwq ni matusi tu
Namtukana marehemu ila unaumia wewe, basi jiwe limekupataaheri mimi ninayekutukana wewe mpumbavu unayepumua bila kuwa na faida yoyote kuliko wewe unayemtukana marehemu