Pre GE2025 Nitawashangaa CCM mkiruhusu Serikali hii iendelee mpaka 2030. Hata 30% ya ilani 2020-2025 haijatekelezwa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Rais wa ujenzi aliondoka mkuu.. hii ni awamu nyingine
 
Mkuu

Halafu hapo tunaambiwa makusanyo yameongezeka.......Lol!!

Kila kitu tunaambiwa kafanya rais wakati Ilani ya chama chao ndicho ilichokiahidi kwa wananchi kutekeleza!!!
 
Namtukana marehemu ila unaumia wewe, basi jiwe limekupata
Jiwe lilikupata wewe ndio maana mpaka leo japokua lipo katika umauti huachi kuweweseka. Hukosekani kwenye moja ya makundi yafuatayo:
1. Shoga
2. Mtumishi hewa
3. Mla madawa ya kulevya
 
Jiwe lilikupata wewe ndio maana mpaka leo japokua lipo katika umauti huachi kuweweseka. Hukosekani kwenye moja ya makundi yafuatayo:
1. Shoga
2. Mtumishi hewa
3. Mla madawa ya kulevya
Kile ulichokizoea kukifanya ndiyo hukujia kila unapokosa majibu. Pole msenge wewe. Mashoga wanajijuwa wenyewe ndiyo maana hudhaani na wenzao ni mashoga.
 
Magufuli tu ndiye angeweza kapambania hizo ahadi.
Tuliye naye hana huo uwezo.
Yule ndio alikuwa muongo namba moja. Nikikumbuka ule utapeli wake wa Tanzania yake itakuwa ya viwanda, kisha ilipofika wakati wa kampeni za 2020 akawa hadhubutu kutaja neno viwanda, ndio nilijua ni tapeli wa kiwango gani.
Jingalao
 
Kama waliiandika kwenye plan inamaana waliona wamauwezo wa kuitekeleza na ndo maana watu waliwachagua.

2025 ni kujieleza kwa nini hawajaitekeleza na kwa nini tuendelee kuwachagua
Walichaguliwa na nani? Kwenye ule uchaguzi wa kihayawani ungewezaje kujua kama wananchi waliwachagua kweli?
 
Kile ulichokizoea kukifanya ndiyo hukujia kila unapokosa majibu. Pole msenge wewe. Mashoga wanajijuwa wenyewe ndiyo maana hudhaani na wenzao ni mashoga.
msenge baba yako. Nilichozoea kufanya ni kuwapopoa mandezi kama wewe, tulia dawa ikuingie
 
msenge baba yako. Nilichozoea kufanya ni kuwapopoa mandezi kama wewe, tulia dawa ikuingie
Jina lako lenyewe unaitwa Screw!! Umezoea kuwa screwed. Peleka makalio yako kwa baba yako akaku screw
 
Wenzako wanayaona mafanikio Kwa kiwango Cha pesa zinazokopwa!!

Tumekopa kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…