Uchaguzi 2020 Nitawashangaa sana wafuatao wakipigia kura CCM

9. Kupotezwa kwa watu kama saa nane na Anzory watanzania wengi wana uchungu.
10. Miili ya ndugu zetu kukutwa kwenye viroba ikiwa imefungwa.
11. Kutekwa kwa wafanyabiashara na wasanii kama Roma na Mo dewji.
12. Kusigina katiba kwa kuzuia mikutano ya kisiasa na haki ya maandamano.
12. Kutudanganya kuhusu viwanda.
3
 
we havee heard enough! wacha mshindi atajulikana
 
Salamu nyingi zikufikie kutoka kwa robertison wa Amsterdam [emoji3][emoji3]

Tunapanga namna ambavyo lissu atakuwa anagawa raslimali akishinda urahizi
Ulevi wako sasa sio wa bia yetu, nadhani ni mataputapu kwa sasa
 
Wacha uongo wewe! Waongeze mishahara halafu washindwe kujinadi kwenye kampeni kwamba wameongeza mishahara? 😳😳

Inasemekana kwa uoga wao wamewaongeza mishahara wanajeshi kimya kimya ; lakini hawajui kuwa hao wanajeshi ni sehemu ya jamii wanaoteseka mitaani!!
 
Reactions: BAK
Salamu nyingi zikufikie kutoka kwa robertison wa Amsterdam [emoji3][emoji3]

Tunapanga namna ambavyo lissu atakuwa anagawa raslimali akishinda urahizi

Mnavuta bangi bila kula na hayo ndio madhara yake!!
 
Reactions: BAK
Huyo JIWE ni mtu wa hovyo sana. Miaka mingine mitano hii Nchi itakuwa kama Somalia au hata zaidi kwa maamuzi yake ambayo hayawajali kabisa Watanzania.

Inasemekana kwa uoga wao wamewaongeza mishahara wanajeshi kimya kimya ; lakini hawajui kuwa hao wanajeshi ni sehemu ya jamii wanaoteseka mitaani!!
 
Na wale waliotolewa kazini kisa vyeti feki
 
Hiki kikundi kinatawala kimabavu, tulishakichoka tangu 1995 na kura za Mrema.
 
Kuna watu walimpigia kura fisadi huku wakijua kabisa ni fisadi ila hawakuwa na namna na hadi wakampigia deki barabarani,hayo ndiyo mapenzi ya chama ambayo ndio hufanya hata hayo makundi nao kuendelea kuipigia ccm kura pamoja na yote hayo.
 
Ukweliukweli mchungu.

Ule uchawi was kupumbaza watanzania mwaka huu haujafanyika, CCM inapigwa miti mchana kweupeeee.

Mwenge umetulostisha kwa miaka mingi, ila Sasa baaaaaaaaasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Piga hao misukule ya lumumba laana ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…