Uchaguzi 2020 Nitawashangaa sana wafuatao wakipigia kura CCM

Uchaguzi 2020 Nitawashangaa sana wafuatao wakipigia kura CCM

9. Kupotezwa kwa watu kama saa nane na Anzory watanzania wengi wana uchungu.
10. Miili ya ndugu zetu kukutwa kwenye viroba ikiwa imefungwa.
11. Kutekwa kwa wafanyabiashara na wasanii kama Roma na Mo dewji.
12. Kusigina katiba kwa kuzuia mikutano ya kisiasa na haki ya maandamano.
12. Kutudanganya kuhusu viwanda.
3
 
Salamu nyingi zikufikie kutoka kwa robertison wa Amsterdam [emoji3][emoji3]

Tunapanga namna ambavyo lissu atakuwa anagawa raslimali akishinda urahizi
Ulevi wako sasa sio wa bia yetu, nadhani ni mataputapu kwa sasa
 
Wacha uongo wewe! Waongeze mishahara halafu washindwe kujinadi kwenye kampeni kwamba wameongeza mishahara? 😳😳

Inasemekana kwa uoga wao wamewaongeza mishahara wanajeshi kimya kimya ; lakini hawajui kuwa hao wanajeshi ni sehemu ya jamii wanaoteseka mitaani!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Salamu nyingi zikufikie kutoka kwa robertison wa Amsterdam [emoji3][emoji3]

Tunapanga namna ambavyo lissu atakuwa anagawa raslimali akishinda urahizi

Mnavuta bangi bila kula na hayo ndio madhara yake!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Huyo JIWE ni mtu wa hovyo sana. Miaka mingine mitano hii Nchi itakuwa kama Somalia au hata zaidi kwa maamuzi yake ambayo hayawajali kabisa Watanzania.

Inasemekana kwa uoga wao wamewaongeza mishahara wanajeshi kimya kimya ; lakini hawajui kuwa hao wanajeshi ni sehemu ya jamii wanaoteseka mitaani!!
 
1. Watumishi wa Umma, kwa sababu hawajapewa mishahara na posho zinazostahili kwa miaka zaidi ya 6 iliyopita ukiacha wale wachache wateule

2. Wanafunzi wa Vyuo vya elimu ya juu kwa mateso wanayopata kupewa mikopo ya kujisomesha

3. Wazazi wenye watoto maskini waliofaulu kwenda vyuo vya elimu ya juu wakashindwa kuendelea na masomo kwa kukosa mkopo au wzazi wakalazimika kuuza kila walichonacho ili mtoto aende chuo

4. Wananchi wa mikoa ,hasa iliyoko nyuma kimaendeleo wanaoshuhudia maendeleo yakipelekwa kwa wenzao Chatto, Geita, Mwanza, Simiyu, Shinyanga na maeneo yanayofanana na hayo kwa kukiachwa patupu au kwa kudanganywa kwa peremende, nitakupa pipi n.k (mkandarasi yuko saiti, nitaweka wakandarasi 6 waigawane hiyo barabara, umeme bure kwa sh. 27000/= tu..,tutamtua ndoo mama

ENDAPO WATAIPA CCM KURA!

Hii itadhihirisha kuwa kweli wako pembezoni/'?/012@#$%
Na wale waliotolewa kazini kisa vyeti feki
 
Naunga mkono hoja. Ifikie wakati hiki kikundi kinachojiita ccm, kiwekwe kando ili kipate wasaa mzuri wa kujitafakari. Kwa sasa kimejichokea na kinaiendesha hii nchi kijanja janja tu kupitia porojo na propaganda zilizopitwa na wakati.

Haiwezekani kampeni za mwaka huu ziwategemee wasanii tu ili kuwavutia wasikilizaji. Mgombea wao hana jipya, kila siku stori zake ni zile zile! Elimu bure, sijui kuongeza ndege!!

Cha kufurahisha zaidi, tangu nianze kuzifuatilia hotuba zake, sikumbuki kama kuna siku aliwahi kuwaongelea watumishi wa umma na wale wahitimu wa vyuo anao wasotesha mtaani bila ajira kwa miaka yote hii mitano.
Hiki kikundi kinatawala kimabavu, tulishakichoka tangu 1995 na kura za Mrema.
 
Kuna watu walimpigia kura fisadi huku wakijua kabisa ni fisadi ila hawakuwa na namna na hadi wakampigia deki barabarani,hayo ndiyo mapenzi ya chama ambayo ndio hufanya hata hayo makundi nao kuendelea kuipigia ccm kura pamoja na yote hayo.
 
Ukweliukweli mchungu.

Ule uchawi was kupumbaza watanzania mwaka huu haujafanyika, CCM inapigwa miti mchana kweupeeee.

Mwenge umetulostisha kwa miaka mingi, ila Sasa baaaaaaaaasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Piga hao misukule ya lumumba laana ya taifa
 
Back
Top Bottom