Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Nashukuru my dia! ushauri wa Mbu unafanyiwa kazi kwa nguvu zote. Leo umependeza sana nimependa rangi za kwenye vidole vyako hasa unakuwa unatype. Invisible arudishe haraka chat room.

Hiki kimeo ninacho kwa kweli sijui anasoma JF naye hadi sasa ameisha miss call kama 8. Anakera na kuboa

mkostishe huyo, pokea weka kando endelea na job, abwabwaje weee, hata kama 30 mins...atachoka tu...kuna watu wana shughuli c kitoto....hahaaa leo nimevaa zile nguo shem wako anazozipenda, ukweli nitakuwa nimependeza...lol...Asprin acckie akoc kunirushia madongo, mie na yeye haziivi kabisa...lol
 
Nishawahi kupata missed calls 100+ kwa usiku mmoja....uzuri nilishashtuka mapema nikawa nimem-block...
Nilivyoona haelewi somo, nilimwondoa kwa reject list...nikaondoa milio....akipiga napokea na kuiacha....
 
Jamani ningependa nibadili ofisi walau niwe na kuona ! Huenda hata huyu msumbufu ingesaidia kumpoteza. Asprin anamatatizo ya kiroho ninaanza kumsalia novena ya damu takatifu.
 
otee kabisa....huyu hakulala alikesha....ahhahaha leo mtasema yote!
 
Alimua kunikomoa kwa my dear wife.........kila akipiga inakata (nadhani aliamini mi ndo nakata).....she kept on......asubuhi nikakuta kitu zaidi ya mia.....
BTW: Leo ukoje kihisia......
 
mkostishe huyo, pokea weka kando endelea na job, abwabwaje weee, hata kama 30 mins...atachoka tu...kuna watu wana shughuli c kitoto....hahaaa leo nimevaa zile nguo shem wako anazozipenda, ukweli nitakuwa nimependeza...lol...Asprin acckie akoc kunirushia madongo, mie na yeye haziivi kabisa...lol

Jamani ningependa nibadili ofisi walau niwe na kuona ! Huenda hata huyu msumbufu ingesaidia kumpoteza. Asprin anamatatizo ya kiroho ninaanza kumsalia novena ya damu takatifu.

Bahati mbaya leo sijatoka na mawani yangu....:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Alimua kunikomoa kwa my dear wife.........kila akipiga inakata (nadhani aliamini mi ndo nakata).....she kept on......asubuhi nikakuta kitu zaidi ya mia.....
BTW: Leo ukoje kihisia......

nipo poa sana my luv, yaani gado hofu kwako tu!...luv umenikumbusha cku moja nadhani nayo ilikuwa kama hii yako, mie nilikomalia fone kabisa......
 
Good!
Ila hiyo ishu yako ilikua simu yako au ya mzee nanihii......:hail:.....
Halafu hiyo addiction yako ya ku-sms/chat....ila fone ingekua 4ne..lol
 
Mch. Masa pale muumini anapohitaji toba inabidi umuombee bana......kwenye imani hakuna usumbufu hahahaha.....Pole sana Mtumishi.....we vumilia tu akikua ataacha!!:bump:
 
Nijuavyo mimi hakuna jinsi ya kumzuia mtu asikupigie simu. Hata hata kama ukiiblock hiyo namba, huyo mtu anaweza kukupigia kupitia simu nyingine na kufanya zoezi zima la kublock kuwa meaningless. Cha muhimu ni kupuuza tu simu zake hadi achoke mwenyewe. Option nyingine ni kubadili tu namba yako ya simu.

Ipo jinsi ya kublock call, inategemea na simu unayotumia. Kwa mfano wanaotumia Nokia N 86 na zinyine kuna option ya kublock namba hadi 5 usizozitaka.
 
hahaaa nyamao upo watasema kweli umewashtukia eeh

nimewashtukia Chauro...wanagawa no kama lawalawa wakitafutwa tena tabu...lakini hapa Mchungaji kashafanya finishing sasa anaogopa Mzenj acshtukie....hahahaha...Mchungaji nipe no ya huyo dada nataka urafiki nae nimsaidie kukusumbua.
 
Kama anakukera sana nunua simu yoyote ya kichina hasa hizi ambazo hazina maandishi ya kiarabu kwenye keypad, nenda kwenye call setting, nenda kwene advance setting, utakuta kitu kinaitwa Black list, hapo sasa utablacklist zoote unazotaka, uzuri ni kwamba kila akipiga itakua inamuandikia network error, yangu ni blackberry ya kichina na inauwezo wa ku-blacklist hadi 25 numbers, sasa hapo utablack list hadi wakweo na wote wanaokudai.. Asante mchina ila pia punguza kutongozatongoza, sorry nilikua namaanisha kutangazatangaza ovyo
 
Good!
Ila hiyo ishu yako ilikua simu yako au ya mzee nanihii......:hail:.....
Halafu hiyo addiction yako ya ku-sms/chat....ila fone ingekua 4ne..lol

haaaa...yaani mpaka jina la binti yangu nalichakachua...hahaha! mbaya sana....nilikomalia ya kwake mpaka kikaeleweka.
 
Usirudie tena.....:redfaces::redfaces::redfaces:
 
Dear friends

Having some trouble from an old friend, who keeps calling me with abusive phone calls, midnight calls, beeping etc. I am using an iPhone, how can I stop her phone calls from reaching me? like a block list? is there any codes! Msaada tafadhali

Mch Masa K

It seems kuna kitu anataka kutoka kwako usiwe mchoyo mpataie mwenzio ataacha kukusumbua...........
 
Back
Top Bottom