Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Nitawezaje kublock number ya simu sumbufu?

Hivi Firstlady amelog in kweli?......dreva tax lazima atakuwa respoensible kwa hili

Hahahahahaaaaaaaaaaaaa!

Familia ya babu yote leo imeingia mitini......Ila Roya na Rose kutokuwepo jamvini mida hii ni coincidence au?
 
lawalawa ingeendelea kuwa tamu mbona hata asingeomba ushauri unafikir ungemuona humu angekuwa kule kwenye siasa kama ni kiduku lazima mchungaji kashapata matege



hahahaaa Chauro haujatulia kabisa...haaa nilikuwa na mawazo ya salary ya mwezi huu yote inaishia kwenye michango, bac umesambaratisha mawazo yotee...b blessed mpendwa.
 
Hahahahahaaaaaaaaaaaaa!

Familia ya babu yote leo imeingia mitini......Ila Roya na Rose kutokuwepo jamvini mida hii ni coincidence au?
hahahaha!
WE CAN PUT OUR BLAMES ALL ON BABUUUUUUUUUZ
 
Nasikia zile simu original za samsung line 2 za mkorea unaweza kublock mpaka msg, lakini sina uhakika sana sijawahi itumia labda jaribu kuulizia wenye nazo watakufahamisha, kisha utaweka line yako humo km itafanikiwa.
Ni kweli mimi ninayo na nimeblock watu kibao pamoja na sms za promotion zinazonosumbua kila wakati.
 
Sahihisho kidogo:

Anayekigawa chama ni bepari Roya.:A S-alert1::A S-alert1::A S-alert1:

spika umekuwa kama mzee mstaafu wa Zanzibar a.k.a 'hapa pangu'
 
Mmhh huko siko, limbwata linanukia sasa, Rev...uko Tanga nini mwenzetu oooh ok Tanga na Zenji sio ndo wale wale
 
Mimi nakushangaa, mbona sku za mwanzo hukuwa hvyo? Ulikuwa mwanaume handsam, mpole, mtulivu na mwenye mapenz ya kweli...

Kinachoniuma mimi, ulipontongoza ulisema utanioa. Sasa ndoa iko wap? MImi sikuelew, stak kamwe kuona unanidump...thubutu.

:confused2: hapa ukikaa vibaya Mchungaji unaweka kula :ban:
 
asante kwa kuni-PM namba ya huyo msumbufu ila kwa bahati mbaya sana nimekuta kumbe ni yule aliekua mpenzi wangu wa zamani nikaamua kumuacha baada ya kung'anga'nia nimnunulie bajaj, sasa kama ndo kahamia kwako, kazi unayo kwangu aliondoka kwa amani baada ya kumdanganya kua nina ngoma, sasa wewe sijui utamwambiaje???
 
Back
Top Bottom