Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Malipo VIP yapoje kwa kila mhamalaKwa kutumia simu yako ya Android, nenda Playstore search app ya Selcome, andika hivyo hivyo "SELCOM" ukishainstall kwenye simu yako fungua, fuata maelekezo ya kijisajili mwisho utapewa pincode za kuanzia, ambazo ni 12345. Utazitumia hizo kulogin kwa mara ya kwanza kisha utabadili ili uweke uzipendazo kwa usalama zaidi.
Kupitia app hiyo utaweza kufanya miamala mingi sana kama kutuma pesa, kuuza muda wa maongezi, kufanya malipo mbalimbali. Kuuza Luku, na kulipia ving'amuzi mbalimbali.
Kila siku asubuhi utaletewa taarifa kuhusu kamisheni yako kulingana na miamala uliyofanya.
Unaweza kuongeza salio kwa urahisi zaidi kupitia Airtelmoney, Tigopesa, Mpesa na Easypesa.
Mfano. Kwa Airtelmoney. Piga *150*60#
Kisha utachagua namba 5, lipia bill.
Kisha namba 4, namba ya kampuni. Kisha utaweka 500600.
Kisha utaweka namba ya kumbukumbu yako ambayo ni hiyo uliyojisajilia. Utaingiza password, tayari umeongeza hazina na unaweza kuendelea na miamala.
Malipo ni mazuri sana hasa kwa miamala ya Luku.Malipo VIP yapoje kwa kila mhamala
Ulipokea msg ya pin?Izo pin code za kuanzia mbona inatakiwa ziwe NNE tu? Maana nmeweka 4 ya tano imegoma so nweka sawa kdg ndg salok
Hongera sana, shirikisha wenzio wajifunze kwako umewezaje...Nmeweza aiseeee.....ila bado vitu vidogodogo
Ukisha download hiyo app ya selcom fuata taratibu za kujisajili kwanza, ukishakamilisha utatunza password yako ambayo utaitumia kila utakapoingia kwa ajili ya kufanya muamala. Hii app inakuwezesha kutoa huduma karibu zote zinazofanywa na wakala wa Selcom malipo.Asante ndugu SALOK, ila naomba kueleimishwa vizuri kwahiyo natakiwa niww na pesa kwenye account yangu ya mpesa/tgo pesa n mingineyo ili kuweza kufanya hii miamala.
Naomba unijuze natamani nimpe mdogo wangu hii elimu.
Asante sana
OK..... Nmewapigia hao selcom wanasema unaweka kwenye airtelmoney, mbona airtel money nna balance kubwa tu SALOKHiyo ni main balance...
Kwa sasa nina shilingi 510.
Kwakuwa sijaongeza salio hapa.
Wewe/ninyi mnashilingi sifuri kwakuwa hamjaweka salio bado.