Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

isley

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
48
Reaction score
83
Jamniiii nisaidieni katika eneo langu kuna watu weng wanatumia luku na wakinunua umeme kwa simu smtyms unasumbua je naweza kupata mashine kama ile ya tanesco niweze fanya biashara? Na faida yake ikoje? Nakaribisha mawazo
 
nenda ofisi za selcom au max .malipo wata kupa maelekezo yote ya vitu gani uwe navyo ili uweze miliki hizo mashine...
 
Kwa kutumia simu yako ya Android, nenda Playstore search app ya Selcome, andika hivyo hivyo "SELCOM" ukishainstall kwenye simu yako fungua, fuata maelekezo ya kijisajili mwisho utapewa pincode za kuanzia, ambazo ni 12345. Utazitumia hizo kulogin kwa mara ya kwanza kisha utabadili ili uweke uzipendazo kwa usalama zaidi.
Kupitia app hiyo utaweza kufanya miamala mingi sana kama kutuma pesa, kuuza muda wa maongezi, kufanya malipo mbalimbali. Kuuza Luku, na kulipia ving'amuzi mbalimbali.
Kila siku asubuhi utaletewa taarifa kuhusu kamisheni yako kulingana na miamala uliyofanya.

Unaweza kuongeza salio kwa urahisi zaidi kupitia Airtelmoney, Tigopesa, Mpesa na Easypesa.
Mfano. Kwa Airtelmoney. Piga *150*60#
Kisha utachagua namba 5, lipia bill.
Kisha namba 4, namba ya kampuni. Kisha utaweka 500600.
Kisha utaweka namba ya kumbukumbu yako ambayo ni hiyo uliyojisajilia. Utaingiza password, tayari umeongeza hazina na unaweza kuendelea na miamala.
 
Malipo VIP yapoje kwa kila mhamala
 
Izo pin code za kuanzia mbona inatakiwa ziwe NNE tu? Maana nmeweka 4 ya tano imegoma so nweka sawa kdg ndg salok
 
Asante ndugu SALOK, ila naomba kueleimishwa vizuri kwahiyo natakiwa niww na pesa kwenye account yangu ya mpesa/tgo pesa n mingineyo ili kuweza kufanya hii miamala.
Naomba unijuze natamani nimpe mdogo wangu hii elimu.
Asante sana
 
Ukisha download hiyo app ya selcom fuata taratibu za kujisajili kwanza, ukishakamilisha utatunza password yako ambayo utaitumia kila utakapoingia kwa ajili ya kufanya muamala. Hii app inakuwezesha kutoa huduma karibu zote zinazofanywa na wakala wa Selcom malipo.
Kwa kifupi unakuwa wakala wa Selcom Malipo.

Njia za kuongeza hazina kwenye acc yako ni kuingiziwa salio na wakala mkuu wa Selcom na kupitia M-pesa, tiGOpesa, AirtelMoney Eazypesa na Sasa Halopesa. Japo kupitia Halopesa haijathibitishwa rasmi.
60c7340309bf69c9013b55f1aa15f394.jpg
64c37a147d4f1952e3631030fb89595e.jpg
03e488c9aba8241570652dd6a1b4ec1f.jpg
776765bfd6c1d311c34a2af0de5acd32.jpg
29ae8cf406b05c7ad5c917d3e24e808d.jpg
 
Asante kwa mara nyigine tena,
Na nimeshajisajili tayari, kwahyo ninakwend kwa hao wakala wakuu wa selcom wananiwekea salio,na je nawapataje ao mawakala wakuu? au kuna option y kuwapata kwenye menu kama mpesa?
nisamehe kichwa kigumu hiki
 
Hiyo ni main balance...
Kwa sasa nina shilingi 510.
Kwakuwa sijaongeza salio hapa.

Wewe/ninyi mnashilingi sifuri kwakuwa hamjaweka salio bado.
OK..... Nmewapigia hao selcom wanasema unaweka kwenye airtelmoney, mbona airtel money nna balance kubwa tu SALOK
 
Back
Top Bottom