Nitawezaje kuwa wakala wa kuuza umeme wa luku?

Asante kwa mara nyigine tena,
Na nimeshajisajili tayari, kwahyo ninakwend kwa hao wakala wakuu wa selcom wananiwekea salio,na je nawapataje ao mawakala wakuu? au kuna option y kuwapata kwenye menu kama mpesa?
nisamehe kichwa kigumu hiki
Kwanza hongera kwa kufaulu hatua hiyo ya kwanza, safi sana!!

Kuongeza hazina yako si lazimakwenda kwa wakala mkuu.. Ila wakala mkuu n njia mojawapo unayoweza kununua hazina.

Tumia Mpesa, Tigopesa, Airtelmoney au Eazypesa kununua hazina!!
Jinsi ya kuongeza Salio la hazina.
Ni rahisi sana!!
Mfano kwa airtel money..
Ingia kwenye manu ya airtelmoney (piga *150*60#),
Kisha chagua 5, (lipia bili). Chagua 4 (namba ya kampuni), Utaingiza tarakimu hizi 500600.
Kisha utaweka namba ya kumbukumbu, ambayo ndiyo hiyo uliyojisajilia. Kisha weka no ya siri. Utapata ujumbe wa uthibitisho kulingana na salio/hazina uliyonunua. Msg itatoka airtelmoney na Selcom paypoint...

Ukifungua app utaona balance yako imeongezeka.
 
OK..... Nmewapigia hao selcom wanasema unaweka kwenye airtelmoney, mbona airtel money nna balance kubwa tu SALOK
Fuata maelekezo hapo juu..

Au fungua hapa[emoji116] [emoji116]
47273d91f01a1033b07840931abf7ddf.jpg
 
Kwanza hongera kwa kufaulu hatua hiyo ya kwanza, safi sana!!

Kuongeza hazina yako si lazimakwenda kwa wakala mkuu.. Ila wakala mkuu n njia mojawapo unayoweza kununua hazina.

Tumia Mpesa, Tigopesa, Airtelmoney au Eazypesa kununua hazina!!
Jinsi ya kuongeza Salio la hazina.
Ni rahisi sana!!
Mfano kwa airtel money..
Ingia kwenye manu ya airtelmoney (piga *150*60#),
Kisha chagua 5, (lipia bili). Chagua 4 (namba ya kampuni), Utaingiza tarakimu hizi 500600.
Kisha utaweka namba ya kumbukumbu, ambayo ndiyo hiyo uliyojisajilia. Kisha weka no ya siri. Utapata ujumbe wa uthibitisho kulingana na salio/hazina uliyonunua. Msg itatoka airtelmoney na Selcom paypoint...

Ukifungua app utaona balance yako imeongezeka.
Asante saaana nimekuelewa ngoja niifanyie majaribio nitaleta mrejesho
 
Mkuu ili kupata iyo mashine yakuuzia luku lazima uwe na leseni ya biashara tin no kitambulisho chako chochote chenye picha barua ya serikali za mitaa pamoja na passport size 4 boss
 
commission ya miamala unayo fanya inapatikana wapi... na mbona wana kuwa wana kata hela nyingi.. nime jaribu kuweka shilingi 2000 mara mbili arafu nika jitumia kwenye M-PESA shilingi 1000 wamekata 2000 yote balance ikasoma 0, mara ya pili nikaweka 2000 nika tuma tigo pesa waka kata 2000 yote balance imesoma 0.. na hakuna commission yoyote waliyo nipa SALOK
 
Kwanza hongera kwa kufaulu hatua hiyo ya kwanza, safi sana!!

Kuongeza hazina yako si lazimakwenda kwa wakala mkuu.. Ila wakala mkuu n njia mojawapo unayoweza kununua hazina.

Tumia Mpesa, Tigopesa, Airtelmoney au Eazypesa kununua hazina!!
Jinsi ya kuongeza Salio la hazina.
Ni rahisi sana!!
Mfano kwa airtel money..
Ingia kwenye manu ya airtelmoney (piga *150*60#),
Kisha chagua 5, (lipia bili). Chagua 4 (namba ya kampuni), Utaingiza tarakimu hizi 500600.
Kisha utaweka namba ya kumbukumbu, ambayo ndiyo hiyo uliyojisajilia. Kisha weka no ya siri. Utapata ujumbe wa uthibitisho kulingana na salio/hazina uliyonunua. Msg itatoka airtelmoney na Selcom paypoint...

Ukifungua app utaona balance yako imeongezeka.
Baada ya kufanya miamala hiyo yote na kutumiwa report kila siku na kujua ulichokivuna swali ni je unaitoaje commision yako wakati unapohiitaji? na commision ni mwisho wa mwezi?
 
Back
Top Bottom