Nitegemee mazuri au mabaya yapi nikipanda basi hili?

Ongea na kadogosa akupe utaratibu hiyo ni treni ya SGR ya lami
 
We panda tu mkuu hizo gari ni mara chache sana kusikia zimekula mbanga.
Ila tabora hivi kukoje aisee, sionagi taarifa kuhusu huo mkoa..
 
Chukua punda huyo.
Mawe,changarawe,mito,matope yote yake kwenye lami utaomba ushuke
 
Panda tuu mkuu, zinatembeaga na mafundi
 
Tegemea kunguni na lugha chafu kutoka kwa wahudumu.
Maana hapo abiria na wahudumu wote ni wavuta bangi
 
On engineering aspect, nawapa kongole waliounda hiyo body kwenye air resistance it is almost 0 (N). Good job.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…