mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Wajuvi wa mambo inakuwaje kuwe na mlolongo wa aina hii.
Je ni sheria? Ama mila na desturi zinazoweza achwa.
Mantiki yangu:
Kuna umuhimu wa kupitia hatua zote hizo na si kupotezana muda labda mniambie why?
Natoa kishika uchumba cha nini au kina maana gani?
Natoa mahali ndo nitangaziwe uchumba ili iweje? Kwanini nisioe directly baada ya mahali?
Sasa kama ndo tutaanza uchumba baada ya kutangazwa na nimetoa mahali tayari, je kama nikigundua hafai vipi kuhusu mahali yangu narudishiwa?
Anyway embu mtoe elimu ambao hatujapitia hizi hatua tujue.