Nitoeni hofu, mke wangu amepitiliza mda wa kujifungua

Yeah tarehe 30/6/2014....+/- 2 weeks
Hapo nakuwa na mashaka na mahesabu yako Boss wangu maana mwez wa 9 ndo alijua ana Pregnancy.Mp ya mwisho ilianza tar 23/8/2013 na kuisha '27
 
kwanini wewe ulikuwa unamnanhii mpaka siku ya mwisho? ndo madhara yake hayo nilisikia wanasemaga manesi wa division 5 hahaha
 
Hapo nakuwa na mashaka na mahesabu yako Boss wangu maana mwez wa 9 ndo alijua ana Pregnancy.Mp ya ilianza tar 23/8/2013 na kuisha '27
.

For my calculation ilitakiwa iwe 30/05. Maana mimba imeingia mwezi wa tisa. Mi nilipata Mimba mwezi wa tisa mwishoni na j.3 tarehe 23.6 nimejifungua. Iweje yy wa mwezi wa 8
bado, ushauri ongea na Dr. Wake.
 
Fanya ivi ongea na dr afanyiwe operation mapema ili muokoe maisha ya mama na mtoto
 
Congrats
 
ni kawaida ila ikizidi mwezi kamuone daktari pia check vipimo mara kwa mara
 
Fanya ivi ongea na dr afanyiwe operation mapema ili muokoe maisha ya mama na mtoto

Kuna wanaojifungua week ya 36 hadi arobaini asiwe na pressure zaidi awe karibu tu na doctor
 
.

For my calculation ilitakiwa iwe 30/05. Maana mimba imeingia mwezi wa tisa. Mi nilipata Mimba mwezi wa tisa mwishoni na j.3 tarehe 23.6 nimejifungua. Iweje yy wa mwezi wa 8
bado, ushauri ongea na Dr. Wake.

Upo sawa
 
kwanini wewe ulikuwa unamnanhii mpaka siku ya mwisho? ndo madhara yake hayo nilisikia wanasemaga manesi wa division 5 hahaha

mmmmmhhh wewe unaujua uchungu au unausikia???????
 
bado sija experience nasikiaga tu kwa watu nasikia nothing can be compared with!

lakin maumivu yanasahaulika jaman looo kuna majani nilipewaga mmmhhhh sitak kukumbuka ule uchungu wake looo but yanasaidia kuwahi kujifungua pindi uchungu unapoanza
 
Majani gan hayo tena MankaM
 
Mungu ni Mwema,hatimaye Mke wangu amejifungua tar 2/7 japo ni kwa Upasuaji ila pia jambo la Kumshukuru Mungu kwa yote.Tumejaliwa kupata Msichana,niwashukuru wote kwa msaada wa maombi na mawazo yenu japo bado yanahitajika sana.
 
Congrats ndugu ,mie nilipitiliza kwa 2.5 weeks

nashukuru mungu nilijifungua salama bila Op

Mungu awape afya njema na mtoto nimechelewa ningewapa jina langu mumpe binti yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…