Mparee Halisi
Senior Member
- Jan 4, 2014
- 104
- 8
- Thread starter
- #41
Hapo nakuwa na mashaka na mahesabu yako Boss wangu maana mwez wa 9 ndo alijua ana Pregnancy.Mp ya mwisho ilianza tar 23/8/2013 na kuisha '27Yeah tarehe 30/6/2014....+/- 2 weeks
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nakuwa na mashaka na mahesabu yako Boss wangu maana mwez wa 9 ndo alijua ana Pregnancy.Mp ya mwisho ilianza tar 23/8/2013 na kuisha '27Yeah tarehe 30/6/2014....+/- 2 weeks
Naomba niulize kua akidungwa ile sindano ya kuleta uchungu ina madhara yoyote kwa Mke wangu ambae anasubiria uchungu tu?
.Hapo nakuwa na mashaka na mahesabu yako Boss wangu maana mwez wa 9 ndo alijua ana Pregnancy.Mp ya ilianza tar 23/8/2013 na kuisha '27
.
For my calculation ilitakiwa iwe 30/05. Maana mimba imeingia mwezi wa tisa. Mi nilipata Mimba mwezi wa tisa mwishoni na j.3 tarehe 23.6 nimejifungua. Iweje yy wa mwezi wa 8
bado, ushauri ongea na Dr. Wake.
Tar 30 si ndio leo Mkuu
Tar 30 si ndio leo Mkuu
Fanya ivi ongea na dr afanyiwe operation mapema ili muokoe maisha ya mama na mtoto
.
For my calculation ilitakiwa iwe 30/05. Maana mimba imeingia mwezi wa tisa. Mi nilipata Mimba mwezi wa tisa mwishoni na j.3 tarehe 23.6 nimejifungua. Iweje yy wa mwezi wa 8
bado, ushauri ongea na Dr. Wake.
Hapo nakuwa na mashaka na mahesabu yako Boss wangu maana mwez wa 9 ndo alijua ana Pregnancy.Mp ya mwisho ilianza tar 23/8/2013 na kuisha '27
kwanini wewe ulikuwa unamnanhii mpaka siku ya mwisho? ndo madhara yake hayo nilisikia wanasemaga manesi wa division 5 hahaha
mmmmmhhh wewe unaujua uchungu au unausikia???????
bado sija experience nasikiaga tu kwa watu nasikia nothing can be compared with!
lakin maumivu yanasahaulika jaman looo kuna majani nilipewaga mmmhhhh sitak kukumbuka ule uchungu wake looo but yanasaidia kuwahi kujifungua pindi uchungu unapoanza
Majani gan hayo tena MankaM
Mungu ni Mwema,hatimaye Mke wangu amejifungua tar 2/7 japo ni kwa Upasuaji ila pia jambo la Kumshukuru Mungu kwa yote.Tumejaliwa kupata Msichana,niwashukuru wote kwa msaada wa maombi na mawazo yenu japo bado yanahitajika sana.