Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Naombeni mautaalamu hapa hivi ni nini kinafanya huo moto unatokea hapo nyuma? Nimewatch sana hio video, ila bongo kuja kumiliki hzo ndinga tunasafar ndefu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama anataka anaweza akanunua hiyo Exhaust flame thrower kit Kisha akafanya mod kwenye gari.Izo super cars dereva akikanyaga weseeeee hafu akaachia, kuna kua na fuel haijawa burnt sasa inapelekwa kwenye exhaust na uko inawaka moto..
Kwa lugha nyepesi fuel ambayo haikuunguzwa kwenye engine ndani ikapelekwa kwenye exhaust inaungua ndio unaona izo flames.
Kwa super cars ni kawaida, ila izo Subaru izo wanafanya maujanja yao.
Ni sehemu ya burudani kwa wapenzi wa magari ya michezo.Aisee, kwahiyo hii inasaidia nini wakuu?
Naomba kuelemishwa
Sio tu butudani hiyo afterburn inafaida sana hata ndege ili ifike super sonic speed lazima uaply after burn eg ndege za kivita au hata concord tafuta wakati inarukaNi sehemu ya burudani kwa wapenzi wa magari ya michezo.
Izo super cars dereva akikanyaga weseeeee hafu akaachia, kuna kua na fuel haijawa burnt sasa inapelekwa kwenye exhaust na uko inawaka moto..
Kwa lugha nyepesi fuel ambayo haikuunguzwa kwenye engine ndani ikapelekwa kwenye exhaust inaungua ndio unaona izo flames.
Kwa super cars ni kawaida, ila izo Subaru izo wanafanya maujanja yao.
Sio tu butudani hiyo afterburn inafaida sana hata ndege ili ifike super sonic speed lazima uaply after burn eg ndege za kivita au hata concord tafuta wakati inaruka
Huo MOTO... FIRE.. magari kibao supersport yanaungua kwa izo mbwembwe..Nmekuelewa mkuu, vp hzo flames zinaunguza kama mtu akiwa jiran?
Well saidIzo super cars dereva akikanyaga weseeeee hafu akaachia, kuna kua na fuel haijawa burnt sasa inapelekwa kwenye exhaust na uko inawaka moto..
Kwa lugha nyepesi fuel ambayo haikuunguzwa kwenye engine ndani ikapelekwa kwenye exhaust inaungua ndio unaona izo flames.
Kwa super cars ni kawaida, ila izo Subaru izo wanafanya maujanja yao.
Well said mzeeKama anataka anaweza akanunua hiyo Exhaust flame thrower kit Kisha akafanya mod kwenye gari.
Utendaji ni huo huo ulioelezea. Ila akitumia hiyo kit ya flame thrower wata bypass ECU ya gari na itakuwa inapeleka mafuta kwenye exhaust ambapo kuna plug huwa imechomelewa ndiyo inaunguza na kutoa moto.
View attachment 1766933
Mkuu naipata wapi hyo exhaustMkuu hata Honda CRF 125 ukifunga Arkapovic Exhaust inatoa moto
Arkapovic Exhaust hizi zinauzwa kwenye maduka ya spare za bike kubwa au unaweza ukaagiza nje ndio rahisi zaidi.Mkuu naipata wapi hyo exhaust