Nitoeni ushamba wakuu

Nitoeni ushamba wakuu

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Naombeni mautaalamu hapa hivi ni nini kinafanya huo moto unatokea hapo nyuma? Nimewatch sana hio video, ila bongo kuja kumiliki hzo ndinga tunasafar ndefu sana.

Izo super cars dereva akikanyaga weseeeee hafu akaachia, kuna kua na fuel haijawa burnt sasa inapelekwa kwenye exhaust na uko inawaka moto..

Kwa lugha nyepesi fuel ambayo haikuunguzwa kwenye engine ndani ikapelekwa kwenye exhaust inaungua ndio unaona izo flames.

Kwa super cars ni kawaida, ila izo Subaru izo wanafanya maujanja yao.
 
Kama anataka anaweza akanunua hiyo Exhaust flame thrower kit Kisha akafanya mod kwenye gari.

Utendaji ni huo huo ulioelezea. Ila akitumia hiyo kit ya flame thrower wata bypass ECU ya gari na itakuwa inapeleka mafuta kwenye exhaust ambapo kuna plug huwa imechomelewa ndiyo inaunguza na kutoa moto.

Screenshot_20210428-214306.png
 
Izo super cars dereva akikanyaga weseeeee hafu akaachia, kuna kua na fuel haijawa burnt sasa inapelekwa kwenye exhaust na uko inawaka moto..

Kwa lugha nyepesi fuel ambayo haikuunguzwa kwenye engine ndani ikapelekwa kwenye exhaust inaungua ndio unaona izo flames.

Kwa super cars ni kawaida, ila izo Subaru izo wanafanya maujanja yao.

Nmekuelewa mkuu, vp hzo flames zinaunguza kama mtu akiwa jiran?
 
Sio tu butudani hiyo afterburn inafaida sana hata ndege ili ifike super sonic speed lazima uaply after burn eg ndege za kivita au hata concord tafuta wakati inaruka

Inasaidia gari kuongeza spidi au nmeelewa vbaya
 
Izo super cars dereva akikanyaga weseeeee hafu akaachia, kuna kua na fuel haijawa burnt sasa inapelekwa kwenye exhaust na uko inawaka moto..

Kwa lugha nyepesi fuel ambayo haikuunguzwa kwenye engine ndani ikapelekwa kwenye exhaust inaungua ndio unaona izo flames.

Kwa super cars ni kawaida, ila izo Subaru izo wanafanya maujanja yao.
Well said
 
Back
Top Bottom