wiki ilopita niliumwa U.T.I,
Nikandikiwa dawa inaitwa AZUMA nimemaliza dozi juzi lakin bado sijapona,dhakari bado inauma wakat wa kujojoa,afu kinachonikera zaidi kuna vimaji maji vyuepe vinatoka, mwanzo viliisha lakini bada ya kumaliza dozi vimeanza tena.
nimekuja kwenu kuja kuomba kujuzwa ni dawa gani ya kuzuia hivi vimaji visiwe vinatoka,dawa za hospital sio muumini sana,nimeagiza dawa ya uti huko Kijijini, lkn utachukua wiki kadhaa kufika huku,ko naomba mwenye ujuzi wa dawa hata ya hospital anijuze,(Maji nakunywa sana hadi tumbo linajaa maji)
Angekuwa ke asingeeleza kwamba ana dhakariWe ni me au ke?
Ampilox (spelling sina uakika nayo) hii dawa ina rangi ya purple china na juu kamfuniko ni keusi hii ndo kiboko ya UTI) iko pharmacy zotewiki ilopita niliumwa U.T.I,
Nikandikiwa dawa inaitwa AZUMA nimemaliza dozi juzi lakin bado sijapona,dhakari bado inauma wakat wa kujojoa,afu kinachonikera zaidi kuna vimaji maji vyuepe vinatoka, mwanzo viliisha lakini bada ya kumaliza dozi vimeanza tena.
nimekuja kwenu kuja kuomba kujuzwa ni dawa gani ya kuzuia hivi vimaji visiwe vinatoka,dawa za hospital sio muumini sana,nimeagiza dawa ya uti huko Kijijini, lkn utachukua wiki kadhaa kufika huku,ko naomba mwenye ujuzi wa dawa hata ya hospital anijuze,(Maji nakunywa sana hadi tumbo linajaa maji)
ooh kumbe!!, mkuu mi ni mtu wa mwamashimba huku ndani ndani, Ilo likiswahili "Dhakari" sijui hata lina maana gani?Angekuwa ke asingeeleza kwamba ana dhakari
AmpicloxAmpilox (spelling sina uakika nayo) hii dawa ina rangi ya purple china na juu kamfuniko ni keusi hii ndo kiboko ya UTI) iko pharmacy zote
Mjohoro au Mtingozi kwa majina mengine.ooh kumbe!!, mkuu mi ni mtu wa mwamashimba huku ndani ndani, Ilo likiswahili "Dhakari" sijui hata lina maana gani?
Kumbe ni gonorrhea?haya lakn sidhani kama ntaacha
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]Angekuwa ke asingeeleza kwamba ana dhakari
Mkuu pitia Uzi huu ,hakika hutajuta ,dawa hii inaondoa UTI for three days,nakama huna access na huu mmea nitakutumia ili uweze kuuotesha katika mazingira yako,achana na wakukuambia nitafute ,they have nothing,kwa miaka mitatu sasa toka nijue kuwa hii dawa inatibu UTI sijawahi kutumia dawa za wazungu.wiki ilopita niliumwa U.T.I,
Nikandikiwa dawa inaitwa AZUMA nimemaliza dozi juzi lakin bado sijapona,dhakari bado inauma wakat wa kujojoa,afu kinachonikera zaidi kuna vimaji maji vyuepe vinatoka, mwanzo viliisha lakini bada ya kumaliza dozi vimeanza tena.
nimekuja kwenu kuja kuomba kujuzwa ni dawa gani ya kuzuia hivi vimaji visiwe vinatoka,dawa za hospital sio muumini sana,nimeagiza dawa ya uti huko Kijijini, lkn utachukua wiki kadhaa kufika huku,ko naomba mwenye ujuzi wa dawa hata ya hospital anijuze,(Maji nakunywa sana hadi tumbo linajaa maji).
shukurani sana mkuu,,nitafanya kama ulivyoshauri.Pole Sana mkuu[emoji26]
To be honest Sijawahi kuugua UTI tangu nmezaliwa mpk miaka yangu 40+ hii ya utu uzima huu.
(mama angu mzazi alishwai nambia hata uko utotoni nilipokua mchanga sijawai kuugua uti)
Kwaiyo mambo ya madawa yake KUITIBU hata Siyajui kabisa mimi, NAMSHKURU SANA MUNGU kuniepusha hili[emoji120].
Ila Ntakupa ushaur huu Ila nnaimani SIKU NYINGINE ITAKUSAIDIA pia usije kupata uko unakopita.,
Ni HIVI,
jitahidi Uwe unakunywa maji mengi kabla ya kusex, ili upate breki kadhaa za kukojoa katikati ya tendo.
Hii itakusaidia kuflush urethra yako kila vijidud vya uti vinapojipenyeza ndai ya uume wako.
Pia kumbuka kila baada breki ya tendo,
Uwe unasafisha vizur dudu yako na maji kisha ndo uloweke Tena.
Cha ziada,
Epuka kutembea na wanawake ambao hawajisafishi vizur na maji wanapokojoa.
(Wapo wanawake wanapenda kukojoa vichakani, wanatembea na tissue tu hawapendi kutumia maji wakikojoa hata wakiwa vyooni kabisa. WAEPUKE SANA)
Mikono ya wanawake Ni chanzo kikubwa Cha uti kwa wanaume, maana KIKAWAIDA Ni ngumu Sana kupata UTI chooni.