Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
407
Reaction score
178
Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba.

Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia.

Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki.

Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
 
Kuna dawa sikumbuki jina ila unaipata maduka ya dawa za mifugo. Hiyo unachanganya na maji kisha unapulizia kuta zone ndani ya nyumba.
Hapo hata kama ulisumbuliwa na mende au wadudu wengine vipi utakaa miaka bila kuwaona.
 
Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba.

Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia.

Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki.

Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
Na tatizo Kama lako mkuu, ukipata Majibu nitag
 
Kanuni kuu za kuangamiza wadudu wa nyumbani ni nne tu.
1. Acha uchafu
2. Safisha nyumba mara kwa mara
3. Zuia mazalia yao yasiwepo karibu na nyumba.
4. Zuia wadudu kutoka nje kuingia kirahisi ndani.

Dawa sio suluhisho la kudumu na dawa yenye kufanya kazi kwa muda mrefu sio salama sana kimazingia.
 
Back
Top Bottom