Jobless Graduate2021
Member
- Aug 15, 2021
- 49
- 45
Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.
Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu, lakini kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana.
Naombeni ushauri wenu/mbinu Wana JF ili niweze kumpata binti huyu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!!