Nitumie mbinu gani ili nikimtongoza anikubalie?

Akikubali kula na usepe,
Kama mwanamke hayupo bikra na anaonyesha dalili kuwa hakutaki Ina mana hakupendi,
Ukimshawishi akupende na mkaishi Pamoja asilimia kubwa mbelen ni maumivu yasiyo na ganzi.
Kwel ndugu ntazingatia Ushauri wako
 
Mfanye awe rafiki yako kwanza..then usiwe na haraka ya kusema nakupenda nae aseme nakupenda pia..tatua shida zake ndogo ndogo hata kwa ushaururi..af siku kama huna ela sema ukweli kwamba leo sina..fanya hvo kwa miezi kadhaa while ukiweka Goals on target..thaks me letter.
 
Ukitaka kumpata mwanamke kirahisi(hasa kama huna pesa) basi dunda na mdundo wake.

Mjue kwanza anapenda nini kama wa kusali sana basi na wewe jiweke uko pamoja nae, ooh sipendi ngono mpaka ndoa na ww umo "aaah hata mimi sipendi zinaa" na kujali kwa sana. Ila kama wewe ni mzee wa text ndeeefu, hiyo michosho lazma achomoe chap.

Na kubwa zaidi tafuta pesa, umemaliza mwaka huu huu hata mwezi huna mtaani unatafuta ndoa, kua makini dogo usijeleta uzi wa kulialia kua mkeo kaliwa na wahuni.
 
Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.

Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu, lakini kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana.

Naombeni ushauri wenu/mbinu Wana JF ili niweze kumpata binti huyu.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!!

Daah the same case ka yangu, Huyu nataka nitie kwa house ila danadana nyingi sana, dini imekorea..

Sema wa hivo unakuta anamegwa na msela tu wa kawaida ambae hata humtegemei ani..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sheria hii
Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.

Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu, lakini kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana.

Naombeni ushauri wenu/mbinu Wana JF ili niweze kumpata binti huyu.

Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!!

Upo jobless binti atakuelewa kweli
 
Ukitaka kumpata mwanamke kirahisi(hasa kama huna pesa) basi dunda na mdundo wake.

Mjue kwanza anapenda nini kama wa kusali sana basi na wewe jiweke uko pamoja nae, ooh sipendi ngono mpaka ndoa na ww umo "aaah hata mimi sipendi zinaa" na kujali kwa sana. Ila kama wewe ni mzee wa text ndeeefu, hiyo michosho lazma achomoe chap.

Na kubwa zaidi tafuta pesa, umemaliza mwaka huu huu hata mwezi huna mtaani unatafuta ndoa, kua makini dogo usijeleta uzi wa kulialia kua mkeo kaliwa na wahuni.
Nitauzingatia sana Ushauri wako
Vishu Mtata
 
Back
Top Bottom