Jobless Graduate2021
Member
- Aug 15, 2021
- 49
- 45
Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.
Asante MasterKapitie uzi wa kula tunda kimasihara utapata mbinu mkuu usikae kinyonge
Tafuta mwingineHabari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.
Daaahh nimemwelewa kinomanoma ndo maana nkaomba mbinu kwenutafta mwingine
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa JF memberNenda kwa maostazi watakusaidia
Maana wao wanauchawi wa kupendanisha
Halafu ukishampata mtie mimba lazima akugande[emoji23][emoji23][emoji23] sawa JF member
Anachomoaje?lkn kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana.
Hapana ndugu yanguUna Gari?
Ningeshangaa Kama nisingeikuta post kama hiimpe hela
mpe hela
pesa
pesa
tafta kazi kwanza ww
utampata
Usikate tamaa nenda tenaHabari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.
Naomba niende kweny uzi moja kwa moja ,kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu ,lkn kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana.
Naombeni ushauri wenu/mbinu Wana JF ili niweze kumpata binti huyu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sheria hiiNingeshangaa Kama nisingeikuta post kama hii