Jobless Graduate2021
Member
- Aug 15, 2021
- 49
- 45
- Thread starter
-
- #21
Kwel ndugu ntazingatia Ushauri wakoAkikubali kula na usepe,
Kama mwanamke hayupo bikra na anaonyesha dalili kuwa hakutaki Ina mana hakupendi,
Ukimshawishi akupende na mkaishi Pamoja asilimia kubwa mbelen ni maumivu yasiyo na ganzi.
Mimi namfaaa na yeye kwa nilivyomwona ananifaaa kulingana na maisha yake"anakufaa kulingana na maisha yako"
Kwani maisha yako yakoje??? Je nawe unadhani unamfaa kulingana na maisha yake???
Yeye ananifaa mm ila ishu ya maisha yangu kumfaa yeye hapo bado sijajua bado ndugu yanguAnakufaa kulingana na maisha yako!! Hayo maisha yako yanamfaa? Ukute ndio maana hakuelewi.
Asante ndugumpe hela
mpe hela
pesa
pesa
tafta kazi kwanza ww
utampata
Sasa wewe jobless graduate utampataje huyo? Ingekuwa na pesa usingekuja huku kuomba ushauri,we mpe pesa,mpe Tena!!! You will the results!!!Daaahh nimemwelewa kinomanoma ndo maana nkaomba mbinu kwenu
Nitauzingatia sana Ushauri wakoSasa wewe jobless graduate utampataje huyo? Ingekuwa na pesa usingekuja huku kuomba ushauri,we mpe pesa,mpe Tena!!! You will the results!!!
Daah the same case ka yangu, Huyu nataka nitie kwa house ila danadana nyingi sana, dini imekorea..Habari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.
Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu, lakini kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana.
Naombeni ushauri wenu/mbinu Wana JF ili niweze kumpata binti huyu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sheria hii
Upo jobless binti atakuelewa kweliHabari Wana JF ,natumaini mnaendelea vema kabisa.
Naomba niende kweny uzi moja kwa moja, kuna binti flani nimetokea kumpenda sana na kwa uchunguzi wangu nimegundua ananifaa kulingana na maisha yangu, lakini kila nikitupia maneno anachomoa si unajua watu wa dini sana.
Naombeni ushauri wenu/mbinu Wana JF ili niweze kumpata binti huyu.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati!!!
Nitauzingatia sana Ushauri wakoUkitaka kumpata mwanamke kirahisi(hasa kama huna pesa) basi dunda na mdundo wake.
Mjue kwanza anapenda nini kama wa kusali sana basi na wewe jiweke uko pamoja nae, ooh sipendi ngono mpaka ndoa na ww umo "aaah hata mimi sipendi zinaa" na kujali kwa sana. Ila kama wewe ni mzee wa text ndeeefu, hiyo michosho lazma achomoe chap.
Na kubwa zaidi tafuta pesa, umemaliza mwaka huu huu hata mwezi huna mtaani unatafuta ndoa, kua makini dogo usijeleta uzi wa kulialia kua mkeo kaliwa na wahuni.
Ndo hivo dini sana inakuaga ngumu kumegwa na dini mwenzie ila masela tu mtaani ndo wapo goodDaah the same case ka yangu, Huyu nataka nitie kwa house ila danadana nyingi sana, dini imekorea..
Sema wa hivo unakuta anamegwa na msela tu wa kawaida ambae hata humtegemei ani..
Daaahh nimemwelewa kinomanoma ndo maana nkaomba mbinu kwenu
We kweli kambi ya fisi! [emoji23][emoji23]Mwambie nakupenda huku ukiwa umepiga magoti mbele yake, bwashee utampata baada ya sekunde moja tu, believe me.
Hahaha [emoji23]We kweli kambi ya fisi! [emoji23][emoji23]