Nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Habari wakuu,

Mjuavyo tena, mwanaume bila michepuko ni sawa na jogoo kuishi na mtetea mmoja, kitu ambacho hakiwezekani.

Nimebahatika kuwa na michepuko kadhaa, ambao ni pisi kali; na baadhi yao nimeweza kuzaa nao kutokana na wao kutaka iwe hivyo.

Kati ya hao, yupo mmoja tu ndio huwa ananiridhisha sana, kwa sababu anajituma na anajua jukumu lake la uumbaji.

Nikiwa naye, nina ridhika kwa asilimia mia mbili.

Kutokana na majukumu kuwa mengi, kwa sasa nataka nijikite kwake tu ili kupunguza gharama za hapa na pale.

Sasa najaribu kufikiria, hawa wengine wasioniridhisha, nitawaachaje achaje?

Kwa mazingira hayo, nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko mingine?​
 
Huwa mnajisikiaje lakini kumuonyesha kila mtu Mashine ya kuzalishia watoto. 😅🤭😜
 
Back
Top Bottom