Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Sio wewe huyu.Mm sipog ivyo nachangiaga tu ila najua wazi wanawake wengi sio dili mwanamke mmoja kwangu ananitosha sana muhimu asiw naa mambo mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio wewe huyu.Mm sipog ivyo nachangiaga tu ila najua wazi wanawake wengi sio dili mwanamke mmoja kwangu ananitosha sana muhimu asiw naa mambo mengi
Wanaweza kuja kuwa na umuhimu uko mbeleHaya ndio malipo yake
Ahahah sema kweli nimejifunzaSio wewe huyu.
UsitegemeeWanaweza kuja kuwa na umuhimu uko mbele
Habari wakuu,
Mjuavyo tena, mwanaume bila michepuko ni sawa na jogoo kuishi na mtetea mmoja, kitu ambacho hakiwezekani.
Nimebahatika kuwa na michepuko kadhaa, ambao ni pisi kali; na baadhi yao nimeweza kuzaa nao kutokana na wao kutaka iwe hivyo.
Kati ya hao, yupo mmoja tu ndio huwa ananiridhisha sana, kwa sababu anajituma na anajua jukumu lake la uumbaji.
Nikiwa naye, nina ridhika kwa asilimia mia mbili.
Kutokana na majukumu kuwa mengi, kwa sasa nataka nijikite kwake tu ili kupunguza gharama za hapa na pale.
Sasa najaribu kufikiria, hawa wengine wasioniridhisha, nitawaachaje achaje?
Kwa mazingira hayo, nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko mingine?
Naaaaaaaaam ,kazi ya mnadhimu imeeleweka vyema.Ahahah sema kweli nimejifunza
Kwaza umegoma kusoma hadith kuleNaaaaaaaaam ,kazi ya mnadhimu imeeleweka vyema.
Nimesoma kijana,na bibi yako nimemuita asome pia maana anapenda sana.Kwaza umegoma kusoma hadith kule
Umeishia wapi?Nimesoma kijana,na bibi yako nimemuita asome pia maana anapenda sana.
Acha ujinga endelea kuwala wote bila kuwapa chochote, watajipunguza wenyewe.Habari wakuu,
Mjuavyo tena, mwanaume bila michepuko ni sawa na jogoo kuishi na mtetea mmoja, kitu ambacho hakiwezekani.
Nimebahatika kuwa na michepuko kadhaa, ambao ni pisi kali; na baadhi yao nimeweza kuzaa nao kutokana na wao kutaka iwe hivyo.
Kati ya hao, yupo mmoja tu ndio huwa ananiridhisha sana, kwa sababu anajituma na anajua jukumu lake la uumbaji.
Nikiwa naye, nina ridhika kwa asilimia mia mbili.
Kutokana na majukumu kuwa mengi, kwa sasa nataka nijikite kwake tu ili kupunguza gharama za hapa na pale.
Sasa najaribu kufikiria, hawa wengine wasioniridhisha, nitawaachaje achaje?
Kwa mazingira hayo, nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko mingine?
Nimemaliza kabisa, ila nilitegemea yule mshenzi wa tabia angekamatwa akatwe makalio.Umeishia wapi?
Ahahha haikuwa ivyoNimemaliza kabisa, ila nilitegemea yule mshenzi wa tabia angekamatwa akatwe makalio.
Kiasi fulani unateterekaKama hawaathiri uchumi wako,
Endelea nao,Ni muhimu kua na kikosi kipana
Hii ni mbinu ya kivita, inabidi kuichukua.Acha ujinga endelea kuwala wote bila kuwapa chochote, watajipunguza wenyewe.
Na wale ambao nimezaa nao, naweza pia kuitumia hii mbinu na ikafanya kazi?Wambie wife kashtukia mchezo, kuwalinda unakata mawasiliano kwanza, tena unasisitiza wapate mabwana wengine kabisa. Otherwise wakiingia kwenye ramani zake watapata tabu.
Kikao cha November mwaka jana tuliyazungumza haya tena maada hii ilikuwa na kichwa cha habari kinachosemaHabari wakuu,