Nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko?

Anza na block namba zao mbona simple tu😁😁
Pili, Jifanye unapitia kipindi Kisumu financial watajiengua wao wenyewe.... Yani akiomba kuanzia 10K baada ya muda Fulani unajibu Sina na siko vizuri kabisa then wakiwepo wa kushusha Mara niunge bando sijui Ninunulie japo kifurushi cha hata 2K piga kimyaaa... Hapo wataanza kujiengua wenyewe
 
Habari wakuu,

Mjuavyo tena, mwanaume bila michepuko ni sawa na jogoo kuishi na mtetea mmoja, kitu ambacho hakiwezekani.

Nimebahatika kuwa na michepuko kadhaa, ambao ni pisi kali; na baadhi yao nimeweza kuzaa nao kutokana na wao kutaka iwe hivyo.

Kati ya hao, yupo mmoja tu ndio huwa ananiridhisha sana, kwa sababu anajituma na anajua jukumu lake la uumbaji.

Nikiwa naye, nina ridhika kwa asilimia mia mbili.

Kutokana na majukumu kuwa mengi, kwa sasa nataka nijikite kwake tu ili kupunguza gharama za hapa na pale.

Sasa najaribu kufikiria, hawa wengine wasioniridhisha, nitawaachaje achaje?

Kwa mazingira hayo, nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko mingine?​
Bila kuwapa hela watakuona tàkataka tuu.
 
Siyo wa kucheka nao hao wala kuwaonea huruma we wamwage baki na huyo anae kukuruka
 
Back
Top Bottom