Nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko?

Kama hawaathiri uchumi wako,
Endelea nao,Ni muhimu kua na kikosi kipana
 
Acha ujinga endelea kuwala wote bila kuwapa chochote, watajipunguza wenyewe.
 
Wambie wife kashtukia mchezo, kuwalinda unakata mawasiliano kwanza, tena unasisitiza wapate mabwana wengine kabisa. Otherwise wakiingia kwenye ramani zake watapata tabu.
 
Wambie wife kashtukia mchezo, kuwalinda unakata mawasiliano kwanza, tena unasisitiza wapate mabwana wengine kabisa. Otherwise wakiingia kwenye ramani zake watapata tabu.
Na wale ambao nimezaa nao, naweza pia kuitumia hii mbinu na ikafanya kazi?
 
Kikao cha November mwaka jana tuliyazungumza haya tena maada hii ilikuwa na kichwa cha habari kinachosema
SINGLE MOTHER NI SINGLE MOTHER TU HATA KAMA UMEMZALISHA.Vijana hudhurieni vikao hasa vya mwisho wa mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…