Nitumie mbinu gani kupunguza ukaribu na hawa michepuko?

Anza na block namba zao mbona simple tu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Pili, Jifanye unapitia kipindi Kisumu financial watajiengua wao wenyewe.... Yani akiomba kuanzia 10K baada ya muda Fulani unajibu Sina na siko vizuri kabisa then wakiwepo wa kushusha Mara niunge bando sijui Ninunulie japo kifurushi cha hata 2K piga kimyaaa... Hapo wataanza kujiengua wenyewe
 
Bila kuwapa hela watakuona tร kataka tuu.
 
Siyo wa kucheka nao hao wala kuwaonea huruma we wamwage baki na huyo anae kukuruka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ