Nitumie mbinu gani

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Mwezi mmoja uliopita nliachwa na ex wangu for none reson but wiki iliopita nliamua kumtafuta shost yake kupitia simu ili kumuuliza kisa na mkasa mpaka mimi kuachwa na rafiki yake akasema ajui chochote nkamwambia poa.

Ila baada ya pale yule binti amekuwa akiendelea kunitafuta ila kila napomuuliza kuhusu rafiki yake kwanza anasema urafiki wao auna muda mrefu pili yule rafiki yake ambae ni ex wangu kitabia wapo tofauti sana yule muda mwingi anachat yani simu inamuweka bize mno hata muda wa kupika hana halafu anaruka ruka yani kifupi ajatulia na mwisho ananiambia niachane nae dunia itakuja kumfunza.

Nashangaa kanizoea sana sometime nampotezea ila yeye ananitafuta tunachat sana na kuongea kwa muda mwingi hasa usiku kuanzia saa nne mpaka 6 au 7.

Sasa sijaelewa lengo hasa la huyu binti ni nini na kama kanielewa je nitumie mbinu gani kumuweka kwenye laini fasta maana mi nakuwa najistukia kumtongoza coz alikuwa shemeji yangu tena kwa marafiki zake wawili ukiachana na huyu ex wangu pia kuna rafiki yake mwingine nliwahi kumuacha kutokana na tabia zake kutokuwa nzuri.

By the way poleni kwa msiba endeleeni kuchukua tahadhali dhidi ya Corona.
 
We kweli bad luck. Yaani mwanamke anakutafuta mwenyewe halafu unauliza utumie mbinu gani?
 
Tumia mbunu ya attacking kibindoni.
 
"Kijana na demu wake"

Hadi hapo tayari umehisi,umeelewa Nini anataka Labda uombe mbinu za kumvuta kitandani tu
 
Utanyooka tuu Mataga wewe
Mama ameshika usukani
Mmezoea kupiga dili Sasa mtakula mavi yenu

Nliwaambia muache hiyo tabia ya wizi hamkusikia
Pambaneni na hali zenu mataga nyie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nasema utanyooka Safar hii
Najua ulikua chawa aka parasite

Sasa Host wenu ameondoka
Hakika mtanyooka kama rula
Take my words
Najua nachokisema
Muda ni mwalimu mzur




Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna MATAGA wa kunyooka zaidi nyinyi wenyewe kuendelea kunyooka.

Kama ulivyosema Muda utawaumbua na mtakiri kwa vinywa vyenu..
 
Hakuna MATAGA wa kunyooka zaidi nyinyi wenyewe kuendelea kunyooka.

Kama ulivyosema Muda utawaumbua na mtakiri kwa vinywa vyenu..
Hahahaha Mimi ni asilia sio nyie mliletwa mfukoni
Mlikuja na kimbunga sasa kimeondoka
Tutawanyoosha Safar hii


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…