Nitumie mbinu gani

Nitumie mbinu gani

Lengo la huyo bint ni wewe kufuatilia kwa makini maombelezo ya marehemu Magufuli
Nalog off
 
Mwezi mmoja uliopita nliachwa na ex wangu for none reson but wiki iliopita nliamua kumtafuta shost yake kupitia simu ili kumuuliza kisa na mkasa mpaka mimi kuachwa na rafiki yake akasema ajui chochote nkamwambia poa.

Ila baada ya pale yule binti amekuwa akiendelea kunitafuta ila kila napomuuliza kuhusu rafiki yake kwanza anasema urafiki wao auna muda mrefu pili yule rafiki yake ambae ni ex wangu kitabia wapo tofauti sana yule muda mwingi anachat yani simu inamuweka bize mno hata muda wa kupika hana halafu anaruka ruka yani kifupi ajatulia na mwisho ananiambia niachane nae dunia itakuja kumfunza.

Nashangaa kanizoea sana sometime nampotezea ila yeye ananitafuta tunachat sana na kuongea kwa muda mwingi hasa usiku kuanzia saa nne mpaka 6 au 7.

Sasa sijaelewa lengo hasa la huyu binti ni nini na kama kanielewa je nitumie mbinu gani kumuweka kwenye laini fasta maana mi nakuwa najistukia kumtongoza coz alikuwa shemeji yangu tena kwa marafiki zake wawili ukiachana na huyu ex wangu pia kuna rafiki yake mwingine nliwahi kumuacha kutokana na tabia zake kutokuwa nzuri.

By the way poleni kwa msiba endeleeni kuchukua tahadhali dhidi ya Corona.
We mwambie aje gheto
 
We kweli bad luck. Yaani mwanamke anakutafuta mwenyewe halafu unauliza utumie mbinu gani?
Usimponze.

Kuna huyo alinitumia mpaka video akinionyesha mapaja yake nikamwambia twende lunch, akaja, kunakuaga na maeneo buffet 10,000. Kutoka pale tunaelekea mjengoni, kutaka kumshona nikaambiwa "Ujue mi nilikua nakuheshimu?"

Kwahiyo bro kutafutwa usiku wala siyo kesi. Mleta uzi nitumie namba ya huyo binti pm.
 
Hapo ni wewe ulishindwa kujiongeza mkuu. Mimi mwenyewe nilishajichanganyaga hivyo hivyo nikapeleka demu gesti. Kufika pale nimeshalipa kila kitu demu kagoma kuingia ananiambia ananiheshimu, hakujua mi nna tabia hizo, alikua ananiona wa maana nk. Na bado mwisho nilimtafuna vizuri tuu.
 
Mwezi mmoja uliopita nliachwa na ex wangu for none reson but wiki iliopita nliamua kumtafuta shost yake kupitia simu ili kumuuliza kisa na mkasa mpaka mimi kuachwa na rafiki yake akasema ajui chochote nkamwambia poa.

Ila baada ya pale yule binti amekuwa akiendelea kunitafuta ila kila napomuuliza kuhusu rafiki yake kwanza anasema urafiki wao auna muda mrefu pili yule rafiki yake ambae ni ex wangu kitabia wapo tofauti sana yule muda mwingi anachat yani simu inamuweka bize mno hata muda wa kupika hana halafu anaruka ruka yani kifupi ajatulia na mwisho ananiambia niachane nae dunia itakuja kumfunza.

Nashangaa kanizoea sana sometime nampotezea ila yeye ananitafuta tunachat sana na kuongea kwa muda mwingi hasa usiku kuanzia saa nne mpaka 6 au 7.

Sasa sijaelewa lengo hasa la huyu binti ni nini na kama kanielewa je nitumie mbinu gani kumuweka kwenye laini fasta maana mi nakuwa najistukia kumtongoza coz alikuwa shemeji yangu tena kwa marafiki zake wawili ukiachana na huyu ex wangu pia kuna rafiki yake mwingine nliwahi kumuacha kutokana na tabia zake kutokuwa nzuri.

By the way poleni kwa msiba endeleeni kuchukua tahadhali dhidi ya Corona.
Eeeeh
 
Back
Top Bottom