Ahsantee... Kwenye maduka ya kawaida inapatikana??Kuna sabuni inaitwa Carambola...
Tumia kuogea mwili mzima asubuhi na jioni...
Usiache kwenye ngozi maana ni Kali...
Ndio jumla 2500, reja 3500Ahsantee... Kwenye maduka ya kawaida inapatikana??
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
Picha ili tupime degree of damageMimi ni mweupe wa kawaida.
Umejaribu mixture ya asali, kitunguu swaumu na tangawizi au limauMiguuni makovu ni mengi kama hivyo... Miguu yote miwili View attachment 2774389
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
tafta specialist wa ngozi 'dermatologist' upate suluhisho sahihiHabari zetu,
Mimi nina makovu miguuni na mikononi yaliyosababishwa na vipele vya allergy, nitumie nini yaweze kuisha sitaki kutumia mafuta makali.
Mimi ni mweupe wa kawaida.
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app