Nitumie nini makovu yaweze kuisha?

Nitumie nini makovu yaweze kuisha?

dee joy

Member
Joined
Nov 12, 2020
Posts
7
Reaction score
3
Habari zetu,

Mimi nina makovu miguuni na mikononi yaliyosababishwa na vipele vya allergy, nitumie nini yaweze kuisha sitaki kutumia mafuta makali.

Mimi ni mweupe wa kawaida.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Kuna sabuni inaitwa Carambola...

Tumia kuogea mwili mzima asubuhi na jioni...

Usiache kwenye ngozi maana ni Kali...
 
Umejaribu mixture ya asali, kitunguu swaumu na tangawizi au limau

Saga au twanga na kuvichanganya pamoja

Note:
Limau liwe na maganda yake
Hiyo mixture paka na kitambaa kwa kusugua gently uendapo kulala
Sawa ahsante... Ntaanza kutumia
 
Pia fanya scrub ya mwili mzima.. scrub ya kahawa ukimaliza upake mafuta ya nazi.
 
Habari zetu,

Mimi nina makovu miguuni na mikononi yaliyosababishwa na vipele vya allergy, nitumie nini yaweze kuisha sitaki kutumia mafuta makali.

Mimi ni mweupe wa kawaida.

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
tafta specialist wa ngozi 'dermatologist' upate suluhisho sahihi
 
Back
Top Bottom