habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.
Damu ya Yesu kwenye unzinzi tena.
Unampenda sana unajikanyaga tuu, ingekuwa kweli humtaki ungechukua hatua fasta za kumuacha. Mimi nijuavyo watu wanaomba ushauri kumpata mtu na si kumuacha
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.
<br /><font size="4"><span style="font-family: century gothic">We fungasha kila kilicho chako kisha uingie mitini (kama una uwezo wa kufanya hivyo) bila kumtaarifu.</span></font>