Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,421
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.
Mwambnie na wewe umeenda kwa mganga kakufanyia dawa, kama aking'ang'ania kuishi na wewe basi atakufa siku si nyingi...............utashangaa......... wanaume ni waoga we acha tu.....