Nitumie njia gani kumuacha?

Nitumie njia gani kumuacha?

habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.

Mwambnie na wewe umeenda kwa mganga kakufanyia dawa, kama aking'ang'ania kuishi na wewe basi atakufa siku si nyingi...............utashangaa......... wanaume ni waoga we acha tu.....
 
Usipate tabu mama, huyo hajui alitendalo, anapapala! Chamsingi jiweke kimaombi zaidi, kuwa na imani atashindwa then ondoa mawazo hayo ya kurogwa!
 
mfungulie RB,kutishia kuua,adhabu yake ni mvua 30.
 
Unampenda sana unajikanyaga tuu, ingekuwa kweli humtaki ungechukua hatua fasta za kumuacha. Mimi nijuavyo watu wanaomba ushauri kumpata mtu na si kumuacha

Umeona eh? Mi nachojiuliza yupo tayari mwanae alelewe na baba wa kambo? Halafu, sidhani kama kuna njia nzuri ya kumwacha mwenzio. Lovelove Kaa chini, tulia na mzazi mwenzio yamalizeni matatizo yenu.

Ikishindikana tafuta mtu mzima mwenye busara upande wa huyo baba aongee nae kuhusu hali halisi uweze kuendelea na maisha yako.
 
habari wana jf. mlinishauri sana ktk thread ambayo nli2ma hapa kuhusu baba mtoto wangu na x-bf.
nmeamua kuachana na hyu baba mtoto lakini yeye hataki kuniacha. anaapa haniachi na anasema kaenda kwa waganga kunfanyia dawa
kama ntakua na relation na m2 mwingine wote 2takufa. kifup nmemchoka na tabia zake na ushirikina wake sasa cjui nimuache vip kwan nmemwambia live cmtaki bado hanielewi. nisaidieni jamani.

We fungasha kila kilicho chako kisha uingie mitini (kama una uwezo wa kufanya hivyo) bila kumtaarifu.
 
<font size="4"><span style="font-family: century gothic">We fungasha kila kilicho chako kisha uingie mitini (kama una uwezo wa kufanya hivyo) bila kumtaarifu.</span></font>
<br />
<br />
duh! Ikibidi inabidi afanye hivyo.
 
Anajaribu kukutishia kinyago ulicho chonga mwenyewe huyo, mwambie ashindwe na alegee
 
Back
Top Bottom