Nitumie njia gani Kuongeza Uboho (bone marrow)?

Nitumie njia gani Kuongeza Uboho (bone marrow)?

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho.

Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa uboho, ningependa kufahamu vyakula vya kuuongeza ili ni balance mambo.

Asanteni.
 
Kula vitu laini laini muda wote; kama urojoo, mlenda, mapapai, maparachichi nk utaongeaza uboho ila shida utakuwa laini laini mayai 😛
 
Jifunze kuelewa mada kabla haujaleta njaa zako kwenye kila post. Hv kweli hata maana ya uboho unaelewa kweli au akili yako imekimbilia kuwaza kiungo cha uzazi cha mwanaume?
😂😂😂 Alichofikiri na kilichomaanishwa ni vitu viwili tofauti, tatizo mind zetu waafrika tunawaza muda wote ngono. Labda tumrahishie kumueleza kwa namna ambayo itakuwa kwake rahisi kuelewa.
 
Jifunze kuelewa mada kabla haujaleta njaa zako kwenye kila post. Hv kweli hata maana ya uboho unaelewa kweli au akili yako imekimbilia kuwaza kiungo cha uzazi cha mwanaume?
Najua sio ivo ila wa kazi gani sasa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Alichofikiri na kilichomaanishwa ni vitu viwili tofauti, tatizo mind zetu waafrika tunawaza muda wote ngono. Labda tumrahishie kumueleza kwa namna ambayo itakuwa kwake rahisi kuelewa.
Tulia mkuu msijidai mnapindishi mada huo uboho wa kazi gani
 
daah bongo nomaa... mtu anabadilisha gia nganii hawafai sasa KUBALANCE MAMBO na UBOHO wapi na wapi?? wewe sema ulitaka kumaanisha ujinga
 
Back
Top Bottom