Nitumie njia gani Kuongeza Uboho (bone marrow)?

Nitumie njia gani Kuongeza Uboho (bone marrow)?

Najua wa kazi gani sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kidagaa kimekuozea, usipokuwa makini, huu uzi mpaka unafungwa utakuwa unapondwa wewe tu! Na ndilo lilikuwa lengo kuu la mwanzilishi wa uzi, mi mwenyewe nimeshtukia mchongo mapema sana!

Omba uungwe na uzi mwenzie, maake umerudiwa tena! Na kule kwenye uzi wa mwanzo, kuna watu kama 10 hivi walijichanganya!

Sasa hapa uko peke yako! [emoji23][emoji23]
 
Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho.
Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa uboho, ningependa kufahamu vyakula vya kuuongeza ili ni balance mambo.

Asanteni.
Size kubwa ya uboho itakusaidia nini ?
 
Habari wakuu, naomba kufahamu njia hususani vyakula, vinavyoweza kunisaidia kuongeza uboho.

Mimi ni mdau sana wa mbuzi choma, story za vijiweni zinadai kuwa mbuzi choma ni chanzo cha upungufu wa uboho, ningependa kufahamu vyakula vya kuuongeza ili ni balance mambo.

Asanteni.
Mkuu Mimi Dawa ya kuongeza Uboho aka Uroto Bone Marrow ninaijuwa ukitaka nitafute kwa wakati wako ili nipate kukupatia. Kwani sitoweza kutoa hadharani Uboho/Uroto kwani hiyo dawa ndio inayonisaidia nipate kuwatibia Wagonjwa wa Virusi Vya Ukimwi na Wagonjwa Wa Saratani kuweza kupona kiurahisi kwani huo Uboho/Uroto ndio unaoshambuliwa na Virusi vya Ukimwi na Saratani vikiingia mwilini mwako Virusi vya Ukimwi vinakwenda kushambulia Uboho/Uroto wako na kuuwa Seli nyeupe za kinga za mwili wako aka White Blood Cells ndipo unakuwa na kinga za mwili wako kushuka .Na kinga za Mwili Zikishuka ukipatwa na maradhi yoyote mwilini mwako ni rahisi kufariki. Kwa Hiyo kazi ya Uboho/Uroto ambayo inakaa katika mifupa yetu ni kutengeneza Seli nyekundu za Damu aka Red Blood Cells na Seli Nyeupe za Kinga za Mwili , White Blood Cells. Kwa hiyo Uboho/Uroto ni muhimu sana katika Afya ya Binadamu.
 
Mwingine tena
Kaka wengi wachangiaji hawajuwi hilo neno Uboho/Uroto aka bone Marrow ndio maana waropoka ovyo itabidi uwafundishe wanafikiria mambo ya ngono tu si unajuwa wengi wao wamekimbia uamande wa asubuhi wakati kwenda shule. Waelimishe ili wapate kuelwa ni nini maan ya neno Uboho/Uroto aka Bone Marrow.
 
Fahamu kuhusu Uboho ‘Bone Marrow'​

Uboho au ‘Bone Marrow’ ni ute unaopatikana ndani ya mifupa mirefu katika mwili wa binadamu huku kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha chembechembe za damu ambazo zina kazi mbalimbali mwilini.

Kuna magonjwa ambayo yanaweza kusababisha uzalishaji wa uboho ambayo ni Kifua Kikuu na ukosefu wa virutubisho mwilini kama Vitamin B12 na 6, upungufu wa madini ya chuma ambayo yanasaidi katika uzalishaji wa chembechembe nyekundu za damu na mazingira hatarishi kama ya kuwa kwenye mionzi mikali.

Uboho husaidia kwenye uzalishaji wa chembechembe nyekundu za damu, chembechembe nyeupe na chembe sahani. Upungufu wa uzalishaji wa uboho ni tatizo kubwa.

Hadi sasa matibabu ya bone marrow yanafanyika nchini India kwa gharama isiyopungua $40,000 sawa na Tsh milioni 93. chanzo.https://www.jamiiforums.com/threads/fahamu-kuhusu-uboho-bone-marrow.1792241/
BONE MARROW.jpg
 
View attachment 2258303
Asante
 
Back
Top Bottom