Dr wa Kaliua
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 1,634
- 3,833
Bank hiyo una simbanking nao? Au transaction za account ya mkopo, huwa unapata sms?Habari JF
Kuna mkopo nimechukua bank fulani hapa nchini.
Marejesho yake ni kwa wiki,
Muda niliopewa ni miezi 18
Je nitumie njia gani kutunza kumbukumhu ili ukifika muda wa kumaliza mkopo kusiwe na mambo mengi ukizingatia haya masuala ya makato nk
Naomba ushauri wenu ndugu zangu
Hapana mkuu, sina simbanking,Bank hiyo una simbanking nao? Au transaction za account ya mkopo, huwa unapata sms?
Kama unalipa kupitia account yako, chukua statement kila mwezi au uwe na internet banking kuona statement otherwise tafuta appstore naamini ziko application kibao zitakusaidia.Habari JF
Kuna mkopo nimechukua bank fulani hapa nchini.
Marejesho yake ni kwa wiki,
Muda niliopewa ni miezi 18
Je nitumie njia gani kutunza kumbukumhu ili ukifika muda wa kumaliza mkopo kusiwe na mambo mengi ukizingatia haya masuala ya makato nk
Naomba ushauri wenu ndugu zangu
Nashukuru sana mkuu! Naomba nianze ni hii ya bank statement kila mwenzi nina imani itanisaidia zaidi.Kama unalipa kupitia account yako, chukua statement kila mwezi au uwe na internet banking kuona statement otherwise tafuta appstore naamini ziko application kibao zitakusaidia.
Nashukuru sana BossLipa kupitia mawakala na risiti uzitunze zote.
Hizo bank statements AU any other document utakayoipata, scan/piga picha na JITUMIE KWENYE E-MAIL YAKO. KWENYE SUBJECT UWE UNAANDIKA HIYO JI STATEMENT YA MWEZI AU REJESHO LIPI. Kutunza hadi copies kuna ugumu wake.Nashukuru sana mkuu! Naomba nianze ni hii ya bank statement kila mwenzi nina imani itanisaidia zaidi.
Nashukuru sana mkuu1. Hifadhi nakala za deposit slip
2. Tumia taarifa ya akaunti yako " bank statement"
Mungu akubaliki sana kakaHizo bank statements AU any other document utakayoipata, scan/piga picha na JITUMIE KWENYE E-MAIL YAKO. KWENYE SUBJECT UWE UNAANDIKA HIYO JI STATEMENT YA MWEZI AU REJESHO LIPI. Kutunza hadi copies kuna ugumu wake.
Mail ni njia nzuri ya kutunza documents zako
AminaMungu akubaliki sana kaka
na hii ndo rahisi kuliko zoteNashukuru sana Boss