Nitumie njia gani kutunza kumbukumhu za marejesho ya mkopo?

Dr wa Kaliua

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2020
Posts
1,634
Reaction score
3,833
Habari JF,

Kuna mkopo nimechukua bank fulani hapa nchini, marejesho yake ni kwa wiki, muda niliopewa ni miezi 18.

Je, nitumie njia gani kutunza kumbukumhu ili ukifika muda wa kumaliza mkopo kusiwe na mambo mengi ukizingatia haya masuala ya makato n.k.

Naomba ushauri wenu ndugu zangu.
 
Habari JF
Kuna mkopo nimechukua bank fulani hapa nchini.
Marejesho yake ni kwa wiki,

Muda niliopewa ni miezi 18
Je nitumie njia gani kutunza kumbukumhu ili ukifika muda wa kumaliza mkopo kusiwe na mambo mengi ukizingatia haya masuala ya makato nk

Naomba ushauri wenu ndugu zangu
Bank hiyo una simbanking nao? Au transaction za account ya mkopo, huwa unapata sms?
 
Hapana mkuu, sina simbanking,
Ndio transaction huwa napata kwa njia ya sms.
Lakini nilipoteza simu kuna baadhi ya sms zimepotea.

Nisaidie kunielekeza plz
 
Habari JF
Kuna mkopo nimechukua bank fulani hapa nchini.
Marejesho yake ni kwa wiki,

Muda niliopewa ni miezi 18
Je nitumie njia gani kutunza kumbukumhu ili ukifika muda wa kumaliza mkopo kusiwe na mambo mengi ukizingatia haya masuala ya makato nk

Naomba ushauri wenu ndugu zangu
Kama unalipa kupitia account yako, chukua statement kila mwezi au uwe na internet banking kuona statement otherwise tafuta appstore naamini ziko application kibao zitakusaidia.
 
Nashukuru sana mkuu! Naomba nianze ni hii ya bank statement kila mwenzi nina imani itanisaidia zaidi.
 
1. Hifadhi nakala za deposit slip
2. Tumia taarifa ya akaunti yako " bank statement"
 
Nashukuru sana mkuu! Naomba nianze ni hii ya bank statement kila mwenzi nina imani itanisaidia zaidi.
Hizo bank statements AU any other document utakayoipata, scan/piga picha na JITUMIE KWENYE E-MAIL YAKO. KWENYE SUBJECT UWE UNAANDIKA HIYO JI STATEMENT YA MWEZI AU REJESHO LIPI. Kutunza hadi copies kuna ugumu wake.

Mail ni njia nzuri ya kutunza documents zako
 
Mungu akubaliki sana kaka
 
Back
Top Bottom